times fm

  1. JamiiForums Tanzania Chukua nyimbo 10 za Diamond hazitoboi kwa kipande cha dakika 2 cha wimbo wa Juma dede (Times fm) kilichoombwa na Mzee Yusuph

    Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph. Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede. Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji connections za redioni hasa hasa Crown fm, Mjini fm, Times fm na E fm

    Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa Au kama...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Rais wa Senegal, Diomaye Faye akiwa shambani na mke wake

    Picha hii inadaiwa kuwa ya Rais Mteule wa Senegal, Diomaye Faye akiwa na mke wake. JamiiCheck naombeni ufafanuzi maana nimewahi kuiona sehemu fulani sikumbuki ni wapi, lakini ilikuwa inamzungumzia mtu mwingine kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

    Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake. Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti. Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo: kanjanja anayejiita mchambuzi pale Times FM

    Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

    Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM. Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana? Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana...
  7. JamiiForums Tanzania "Times FM" Nyumba ya Mapito

    Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki, uendeshwaji wake naupenda sana, Muanzilishi alishatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu amrehemu ila...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzia: Emmanuel Julius Magige "DJ RGUY" wa Times Fm afariki dunia

    Times FM redio, inasikitika kutangaza kifo cha Mwanafamilia wao DJ Rguy kilichotokea usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye majukumu yake ya kawaida nje ya kazi. Hii ndio taarifa iliyotolewa na kituo cha Times FM kuhusiana na msiba huo; "Ndugu zetu.. Wanafamilia ya Radio Times tunasikitika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…