tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D)

    Hi wana jf. Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D). Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa umekuwa sugu. Kutokwa na uchafu wa marangi rangi huko chini ukiambatana na harufu imekuwa ni kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania RC Makonda anahitaji tiba ya Kisakolojia

    Najua ni mtendaji mzuri haswa, naamini Bado tunahitaji huduma yake, Toka ateuliwa kuanzia kuwa mwenezi hadi mkuu wa mkoa wa Arusha nimekuwa nikimfatilia. Inaonekana RC Makonda ana kidonda na machozi moyoni yaani ana maumivu na visasi, anaamini Kuna maadui wanamtafuta Utendaji wake Arusha sio...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi msamaha kutoka moyoni unavyoweza kuwa tiba maishani

    Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au familia zetu. Tukiwa kama binadamu, hatuwezi kuzuia hali ya kuchukizwa , kuwa na nogwa au hasira...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

    Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
  5. JamiiForums Tanzania Mwani kutumika kama tiba, kuna utafiti wowote kuthibisha hilo?

    Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia. Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto. Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
  6. JamiiForums Tanzania Samehe na sahau ni tiba kwa afya yako

    Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo upwekeni..... Bila kusamehe na kusahau hupelekea muhusika kuugua baadhi ya magonjwa na kupelekea...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la matiti makubwa kwa mwanaume (gynecomastia) na tiba yake

    Picha kwa hisani ya Google Kuota matiti kwa mwanaume (Gynecomastia) ni kuongezeka ukubwa/ujazo wa matiti kwa mwanaume. Hutokana mabadiliko ya viwango vya homoni za kiume (Testosterone) na homoni ya kike (Estrogen) kwa mwanaume [hormonal imbalance] ambapo mwanaume anakuwa na viwango vya juu vya...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  9. JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

  10. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
  11. JamiiForums Tanzania Bilioni Sita Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Moshi, Bilioni 44 Vifaa Tiba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa Moshi ambapo Hospitali hiyo ikikamilika itakua imegharimu Shilingi Bilioni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Habari za wakati Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
  14. JamiiForums Tanzania Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

    Kwenye haya maisha , ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala. Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine. Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nini Chanzo na Tiba ya Mafua kwa watoto wachanga?

    Habari! Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima. Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa. Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu. Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje? Natanguliza shukrani!
  16. JamiiForums Tanzania Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
  17. JamiiForums Tanzania Msaada nini tiba ya insomnia..?

    msaada tafadhari usingizi nimekuwa nikipata kwa masaa machache mno tofauti na awali.
  18. JamiiForums Tanzania Ijue tiba ya ugonjwa wa kusikiliza kila maoni ya mtu

    Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria. Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu. Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni tiba ya makelele masikioni.

    Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…