threads

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Twitter uko shakani, mtandao wa Threads wawafikisha watumiaji milioni 100

    Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter. Wakati huohuo, takwimu za mitandao zinaonesha kuwa kasi ya matumizi ya Twitter imeshuka ndani ya siku chache...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

    Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

    Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022; 1. Pascal Mayalla 2. MamaSamia2025 3. Etwege 4. johnthebaptist 5. GENTAMYCINE 6. smarte_r 7. cocastic 8. Erythrocyte 9. DeepPond 10. Mmawia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wingi wa nyuzi(Threads) za malalamiko kutoka CCM chanzo ni nini?

    Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala. Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za hapa JFs zenye mwelekeo wa malalamiko kila kukicha hivi karibuni. Wanaccm hasa wale wa ccm mpya (CCM...
  5. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Hivi kupost threads za kushauri au maoni kwa viongozi ni Nongwa?

    Kuuliza si ujinga je maada yoyote yenye maudhui ya kushauri au kukosoa kwa maada wazi na yenye weledi ni kosa na imezuiwa? Mods mtusaidie na kama maada za vituko vituko, usanii uchekeshaji na uongo zinapewa kipaumbele zaidi
  6. Planett

    JamiiForums Tanzania Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

    Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu. Nawasilisha. (1)Uzi wa watoto wazuri worldwide. Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies (2)Uzi wa wazee wa kula tunda...
  7. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Anker products special Threads

    Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker 🔊 ,nimejikuta naipenda na bei zao ni nzuri Sana. Tujaribu kushea experience hapa ya hizi bidhaa na ufanisi wake au changamoto zozote...
  8. Invisible

    JamiiForums Tanzania Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kuupindisha ukweli ndani ya JF na kuanza kuwafanya watumiaji wa JF kudhani kuwa aidha wanaonewa au kuna jambo nyuma ya pazia. Ni wakati muafaka wa kuwafahamisha watumiaji wa JF (wanachama na wasio wanachama) nini hufanywa na moderators na kwa misingi ipi...
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

    Wapendwa Wakuu habari za mida hii, Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
  10. Kibuje

    JamiiForums Tanzania Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

    Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
Back
Top Bottom