Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa nimemuunga mkono kwa asilimia 100 Na hii imekuja baada ya tetesi ya yeye kurudiana na diamond lakini pia kwa...