thamani ya shilingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Club Mate

    BoT yavunja Rekodi Kuuza Akiba ya Dola huku Thamani ya Shilingi Ikizidi Kushuka

    Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange Market (IFEM). Hiki ni kiasi kikubwa na cha mara kwa mara ambacho hakijawahi kuonekana katika...
  2. B

    Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

    15 Julai 2025 273 Voortrekker Road, Goodwood, Cape Town, Western Cape, South Africa Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni...
  3. Ojuolegbha

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  4. ChoiceVariable

    Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

    Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC. Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya...
  5. hsnaturalfertility

    Tujadiliane biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi

    Ninacholipendea hili jukwaa watu wako serious, hakuna mizaha mingi, lakini pia tunapata mawazo mapya kila siku humu. Leo naomba tupeane michongo ya biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi. Yaani ukileta mzigo wa milioni 30, ukimaliza kuuza unapata faida ya milioni 30. (Bila kuzingatia ni...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Je, Shilingi ya Tanzania inaporomoka? Fahamu vigezo vya thamani na ufanisi wa sarafu

    Chanzo cha picha,BOT Maelezo kuhusu taarifa Author,Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutokaDar es Salaam 26 Machi 2025 Kumekuwa na mjadala mkali nchini Tanzania kwa karibu juma moja sasa kuhusu hali ya shilingi ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Mjadala unabebwa na taarifa zilizoeleza kwamba...
  7. Pfizer

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  8. S

    Kama Rais Samia alipongezwa sana shilingi kupanda thamani dhidi ya dola, hatupaswi kumkosoa sasa shilingi inapoporomoka dhidi ya dola?

    Wale wau ambao kila kitu kizuri kikitokea wanaishia kusema ni kwa sababu Mama Samia anaupiga mwingi, kuna wakati hizo sifa kwa raisi zitawatokea puani na kumuumbua sana raisi wetu. Juzi hapa thamani ya shilingi dhidi ya dola ilipanda ghafla, toka Shs 2700 kwa dola hadi Shs 2200 kwa dola. Watu...
  9. Stephano Mgendanyi

    Madini ya Dhahabu ya shilingi bilioni 3.4 yakamatwa Bandarini yakitoroshwa

    Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
  10. R

    Unakubaliana na Mwigulu kwamba kutembea na cash nje ya nchi ni ushamba? Au unakubaliana na Pambalu kwamba fedha yetu haitambuliki Duniani?

    Kuna mnyukano wa hoja huko X kati ya wafuasi wa Mwigulu na Wafuasi wa John Pambalu Pambalu anadai alichukua cash akaenda airport akiwa anasafiri akategemea anaweza kupata dola lakini alipofika airport DAR es salaam akakuta akaambia hakuna dola hata moja kwenye Bureau De change na benki...
  11. K

    Thamani ya shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka. Tunaelekea wapi?

    Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa dollar moja kutoka Tshs.2,300 miezi michache iliyopita. Siku za karibuni fedha ya Tanzani ilikuwa...
  12. Jidu La Mabambasi

    Kushuka kwa thamani ya shilingi, zigo lililomshinda Mwigulu kulielezea kiuchumi

    Kulingana na data zilizopo hata mtandaoni, shillingi yetu imeshuka kwa kiwango cha kutisha. REKODI ZIPO HIVI: Mwaka 2020. 1 Dollar -Tshs 2,314.8 Mwaka 2021. 1Dollar -Tshs 2,314.3 Mwaka 2022. 1Dollar- Tshs 2,326.1 Mwaka 2023 1Dollar- Tshs 2,419.6 Mwaka 2024 1Dollar-...
  13. Analogia Malenga

    Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

    Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka. Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea...
  14. CHAGOSI GERALD

    Kwanini Shilingi inazidi kupoteza thamani yake dhidi ya Dola?

    Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu? Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar? Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za...
Back
Top Bottom