tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya ligi na TFF wanajielewa kweli? Mbona kama wanavyotoa ufafanuzi ndio wanakosea zaidi,au hawajisikilizi wanachosema!

    Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
  2. JamiiForums Tanzania Simba asingesema kua Hatocheza Match, TFF na Bodi mngeahirisha Match?

    Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza. Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match! Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu?? Au ndio imekua corner stone? Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Manara: Karia na TFF yake wameonyesha chuki yao Kwa Yanga hadharani

    Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo...
  4. JamiiForums Tanzania Simba iandikieni tff barua kwamba yanga wapewe kombe hata wakitaka Leo ,sio shida zetu , point 3 zinazafutwa uwanjani sio mdomoni na kulialia

    Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
  5. JamiiForums Tanzania Haji Manara anapata wapi nguvu ya kuichonganisha Yanga Vs TFF?

    Kitendo cha Manara kuitisha Press Conference na kuizungumzia Yanga kwa Lugha za kushurutisha timu dhidi ya TFF na Rais wa TFF bila kuwepo msemaji wa Yanga Alikamwe, ni kuivunja heshima Yanga. Yanga ni taasisi yenye heshima nchini ikijihusisha na Soka na bidhaa za soka, lakini kitendo...
  6. JamiiForums Tanzania Siku akija Rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga tutakumbuka haya na tusilaumiane

    Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili 1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu. 2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na...
  7. JamiiForums Tanzania Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia, adai anakiburi cha madaraka ya kulevya

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa. Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa Video: Bongo5
  8. JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali: Hatuna Mamlaka ya Kuingilia Masuala ya Michezo, tunasubiri TFF kupanga tarehe mpya ya Simba vs Yanga

    Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine...
  9. JamiiForums Tanzania Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali na TFF kusimama na Simba kipindi hiki.

    Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama Taifa,tunahitaji kuona serikali ikisimama na Simba kupigania maslahi ya Simba.Tarehe...
  11. JamiiForums Tanzania TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  12. JamiiForums Tanzania TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  13. JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya ligi, Simba na Yanga mna agenda Moja, mnatuona mashabiki malofa

    Hawa watu wametengeneza mgogoro na wanajua njia ya kuhusuluhisha maofsini. Nimeamini Simba na Yanga zinatumika kisiasa, na Toka Leo sitajisumbua na hizi timu Wakiona derby isiharibu shughuli ya wanawake duniani, macho na masikio yawe Arusha badala ya Chang'ombe uwanja wa Taifa, maana...
  14. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni mtaji wa Serikali mnawalaumu TFF na Bodi ya ligi Bure tu

    Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni. Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu. Leo yametokea...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  16. JamiiForums Tanzania NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
  17. JamiiForums Tanzania TFF/ BODI YA LIGI N TETENAS YA SOKA KWENYE NCHI YETU MTATESEKA SANA MPAKA WALE WATU WAONDOKE PALE AMA UMWENGUNI

    WAKATI WATANZANIA MKSHANGAA VITUKO VYA JANA ISSUE IKO HIVI KUNA BOI MEMBERS WAKO PALE WANASAPOTI SIMBA WAKIONGOZWA NA RAIS WA TFF KARIA BAADA YAKUPITA WANAKOJUA SIMBA WAKADANGANYWA KESHO MKIINGIXA TIMU MNAKUFA SI CHINI YA TANO WALICHOFANYA TFF NA WENXIE WA BODI WAKACHEXA DILI NA KAMISHNA...
  18. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

    Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu. Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
  19. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…