teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaweza ishi mikoani au wilayani na akapata teuzi

    Baada ya kuona uteuzi wa kadogosa , nimejiuliza hivi huku wilayani na vijjijini Kuna shida gani,Tangu nimezaliwa Hadi nafika umri huu ,sijawahi kuona mbena,mkinga, mhehe nk anaishi jombe kateuliwa nafasi yoyote kubwa huko serikalin,what I know wapo watu wa asili ya huku mikoani lakini makazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa nchi ina Wakristo zaidi ya 70%, Waislamu wamewezeshwa kushiriki kwa usawa, lakini teuzi hizi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni, na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Zipo tetesi baadhi ya viongozi wapo kama wamepigwa ganzi wanasubiri teuzi, tutawatoa

    "Mheshimiwa Spika, zipo tetesi katika baadhi ya maeneo kwamba viongozi wapo kama wamepigwa ganzi. Wanasubiri nini PDF, mkeka, teuzi. Haya ni mambo ya ajabu. Mambo ya ajabu. Kuwa ofisini na kusubiri teuzi ni mambo ya ajabu. Haya haya ni mambo ya ajabu ajabu tu. Niendelee kuwaelekeza; mmepewa...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  7. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuondoa dhana ya business as usual, kutojali, namshauri Mkuu aachane na teuzi zozote, afocus kwenye huu mtanzuko uliopo mbele yake

    Nchi iko gizani. Imevimba bado kupasuka. Washauri wake mshaurini as underate hí hali tuliyo nayo. Aifanyie kazi, aachane na mazoea ya business as usual. Huko mbele kuna giza nene kwa kila Moja wetu!
  10. JamiiForums Tanzania Teuzi za mchongo

    Wakuu Hizi teuzi za bi mkubwa sijaona cha maana yan ni kama anagawa peremende za shukran kwa waliofanikisha kukalia kiti watanzania tuna matakwa mengi mno anakuja kutuletea eti wizara ya mahusiano,mahusiano gani sasa kama kuna hyo wizara ina maana wizara ya gwajima haitoshi au imezidiwa? wizara...
  11. JamiiForums Tanzania Watu walionunua teuzi na wale waliohaidiwa majimbo 2025 wakisaliti harakati za ukombozi wamenikumbusha wale walioweka pesa DECI miaka ya 2000

    Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo. Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa serikali kandamizi.Waliunga juhudi muda ambao ndugu zao ambao walikuwa wanafanya harakati pamoja wakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi afanya Uteuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Leseni za Biashara na Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Chanzo: Zanzibar Mpya & Dodoma zone
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bado sielewi, kama Mgombea hajapita Kura za Maoni inamaanisha hafai, sasa hizi habari ninazosikia eti wanawekwa pembeni kusubiri teuzi ndo nini?

    Wakuu habari, Kuna kitu sikielewi hapa yaani kama Mgombea hajapita kura za maoni ya kumuwezesha awe kiongozi inakuaje tena baadae anakuja kutgeuliwa mkuu wa wilaya au Mkoa kama wajumbe waliona hana vigezo apo awali Maana nimekua nikisikia Mgombea fulani amekatwa ila amewekwa pembeni asubiri...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

    Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Bulaya na Esther Matiko wamepenya Mchujo wa kwanza Teuzi za CCM

    Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA Amos Makalla Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi Esther Matiko ni miongoni mwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

    https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima? Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
  18. JamiiForums Tanzania Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo. Kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Teuzi na tenguzi ni chanzo cha uchawa na ukosekanaji wa uzalendo

    Binafsi naona kuna haja ya kupitia upya swala la maswala ya teuzi. Rais hapaswi kuwa na power Pana namna hiyo ya kuteua na kutengua kiasi hiki. Ningeshauri kwa positions nyeti kama za kiusalama (tiss na police na jeshi) hapa power irudishwe Kwa wananchi Yani kuwe na kampeni kabisa watu wanadi...
  20. JamiiForums Tanzania Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

    Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ? Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais. Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…