teuzi za rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nsennah

    GE2025 Wawakilishi wa wananchi (wabunge wa majimbo) sasa si takwa la wananchi bali ni teuzi za rais

    Habari wana jukwaa! Kwa kinachoendelea katika kupitisha wagombea na ukitazama walioenguliwa ni dhahiri kabisa kuwa sasa hivi hata upendwe na wananchi wako vipi bila kupendwa na kiongozi wa nchi wewe huwezi kuwa mbunge wao. Rejea kauli za rais kuhusu wabunge fulani au background ya wabunge...
  2. Mzalendo2015

    Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

    https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima? Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
  3. J

    Katika Vitu ambavyo Shujaa Magufuli alikuwa anakosea ni Kuteua Wanasiasa kuwa Watendaji Serikalini!

    Teuzi za kisiasa bila kujali taaluma ndio tatizo lililoliangamiza Bara la Africa Viongozi wa Africa wanawaza Uchaguzi wakati Wote Ni Lazima tufike mahali Teuzi za kisiasa ziishie kwenye Ajira za Kwenye vyama Vya Siasa na Taasisi zake Angalia Teuzi za Wakurugenzi wa Halmashauri Hapa Tanzania...
  4. Watchaman255

    Teuzi za Rais Samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania

    Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya kwanza ni shukran kwa kiongozi kwa waliomsaidia ushindi na kazi ya pili kudhibiti mamlaka ya...
  5. Mndengereko

    Mjadala huru: Nini kifanyike kuliepusha taifa na teuzi na tenguzi za mara kwa mara?

    Heshima kwenu wakurungwa. Katika kipindi cha miaka 8 iliyopita katika nchi yetu pendwa ya Tanzania kwa maana ya awamu ya 5 na ya 6 tumeshuhudia viongozi mbalimbali wakiteuliwa na mamalaka, hasa mamlaka ya Rais na pasi na kupita muda mrefu viongozi hao ama hubadilishwa vituo vya kazi, ama...
  6. BARD AI

    Teuzi za Rais Mwinyi zaanza kuivuruga ACT Wazalendo, Zitto apinga wazi

    Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe, imekichanganya kiasi cha kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua za kuchukua. Kikubwa kinacholalamikiwa na...
  7. Rashda Zunde

    Teuzi za Rais Samia zinavyoinua wanawake

    Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
  8. FUWAVITA - TANZANIA

    Rais Samia wakumbuke walemavu wa Uziwi katika teuzi zako

    Kwa miaka mingi tangu Tanzania ipate uhuru wa bendera haijawahi kutokea kiziwi akapata nafasi katika uongozi , iwe Ubunge, Udiwani, Umeya, ukuu wa wilaya , Ukuu wa Mikoa, Katibu tawala na hata Ukurugenzi. Katika teuzi za wakurugenzi za Rais Samia hatujaona akiwakumbuka walemavu wa uziwi...
Back
Top Bottom