tekonolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—›๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘ค

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘ Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. ๐Ÿ“ Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—จ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—จ๐—ž๐—”๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—” ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐—— ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—”๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ

    Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu ๐Ÿ‘‹ WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili โšก๐Ÿ“ฑ Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2ร— speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google Assistant unaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  5. JamiiForums Tanzania Walichofanyiwa YouTube na Duck Duck Go ni majanga balaa

    Hatimaye imewezekana bhana! program ya DuckDuck Go Sasa inaweza kuzuia Matangazo Ya YouTube bila kutumia Extension yoyote kama ilivyo Ublock origin. Ukifungua YouTube kupitia DuckDuckGo Browser, unaweza kutazama video nyingi bila matangazo ya kuudhi yanayokatiza kila dakika. Bila kuhitaji...
  6. JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐˜ƒ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ผ ๐Ÿ˜‰

    kampuni ya Meta inakaribiwa na mashtaka juu ya kutengeneza Miwani yenye kuondoa nguo zako zote na kubaki mtupu. Miwani ya Meta Ray ban glasses ๐Ÿ•ถ๏ธ ambayo Ina Teknolojia ya Ai imekumbwa na kashfa kubwa imekua ikirekodi mambo mengi ya Siri kwa kuwaondoa watu nguo zao na kubaki uchi (naked)...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu anga yatakayo tokea Tanzania mwaka 2026

    Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza. Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea Giza la ajabu ulimwenguni, nyota zote kupotea matukio haya yataweza kujitokeza mwaka huu 2026. ๐Ÿ”บ Machi...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Mitandao ya simu kuimarisha ulinzi dhidi ya jumbe na simu za kitapeli

    Katika miaka ya hivi karibuni, kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi kumeleta mabadiliko makubwa katika mawasiliano nchini Tanzania. Simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya Watanzania wengi, zikichochea maendeleo katika sekta mbalimbali kama vile biashara, elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ