teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inapaswa kumiliki wezi wa Teknolojia

    Habari zenu watanzania wenzangu, nawaomba msishtushwe na kichwa Cha habari nilichoweka hapo juu.mnaweza mkajiuliza "huyu anataka kusemaje tena?"😂 Au "muhuni au mwizi amefikaje kwenye jukwaa hili la stories of change"? Twendeni kwa pamoja ili kujua NI kwa namna gani hili linaweza kuwa mkombozi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima kuendana na kasi ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Yafuatayo yakifanyika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira ya Baadaye katika Sayansi na Teknolojia

    Tanzania iko kwenye kilele cha safari ya mageuzi ambayo inaweza kufafanua mustakabali wake kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sayansi na teknolojia. Dira ya "Tanzania Tunayoitaka" inajumuisha mapinduzi ya kielimu, vituo vya ubunifu vya makuzi, na mifumo thabiti ya sera ambayo itaingiza taifa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia na habari

    Mabadiliko ya teknolojia katika tasnia ya habari yamekuwa muhimu sana katika kuleta uhuru wa vyombo vya habari. Teknolojia imewezesha upatikanaji wa habari kwa haraka zaidi na kwa njia rahisi, ikiondoa vizuizi vya kijiografia na kifedha. Kwa kuongezea, teknolojia imeunda jukwaa huru ambalo watu...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    It is clear that we all agree that the growth of ICT in the world has contributed to the advancement of development and the simplification of life globally. This is one of the indicators for economically developed countries, where the level of ICT development is high, and we see many countries...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua uwezo wa teknolojia ya Tanzania: Mikakati kwa maendeleo endelevu ya teknolojia

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari kuelekea maendeleo ya kiteknolojia, lengo likiwa kutumia nguvu ya uvumbuzi kwa ajili ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya kijamii. Hata hivyo, nchi inakabiliana na changamoto kadhaa katika uga wa teknolojia, ikiwa ni pamoja na upatikanaji...
  8. JamiiForums Tanzania Program gani ya AI inatafsiri sauti kupeleka kwenye maandishi?

    Wakuu wa AI Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa matumizi teknolojia ya vifaa vya kielektroniki kwenye chaguzi za viongozi Tanzania

    Ili kuendelea na kasi ya kuendana na ukuaji wa teknolojia na mifumo ya mitandao upo umuhimu mkubwa wa Tanzania kuingia kwenye utumiaji wa vifaa vya kisasa vya kuendeshea chaguzi mbalimbali za viongozi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Hii itasaidia kwenda...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Safari ya Teknolojia na maendeleo

    UTANGULIZI Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Ingawa changamoto zipo, tunaamini kuwa tuna fursa kubwa ya kujenga mustakabali mzuri kwa taifa letu. Chapisho la Gupta, 2020, linatuonyesha kuwa asilimia 80% ya ajira zinatokana na kilimo, huku asilimia 20% zikitokana na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ni ajira

    Kumekuwa na zana teknolojia Ina haribu watu hasa mitandao ya kijamii na maudhui yanayopatikana ndani yake ila teknolojia ni mwokozi wa ongezeko la ajira kama tukizingatia mambo ya fuatayo Kwa umakini. 1. Vyuo ya teknolojia viongezeke.kama tunavyoona veta ni mwokozi pia vyuo vya teknolojia hasa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
  14. JamiiForums Tanzania Teknolojia inavyotusogeza karibu na Shetani, mbali na MUNGU

    Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu ndipo tunapoelekea na kulazimishwa kuishi. Watawala wa dunia kwanza walitutaka tuwe bize sana...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira zipo hatarini - tuandae vijana kukabiliana na mabadiliko ya Teknolojia (AI)

    Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji katika teknolojia na TEHAMA: Njia ya kuijenga Tanzania bora

    Uwekezaji Katika Teknolojia na TEHAMA: Njia ya Kuijenga Tanzania Bora Teknolojia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) zimekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii duniani kote. Nchi zilizoendelea zimewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta hizi, na matokeo...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ijikite kuibua vipaji na kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia

    Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile kuendana na kasi hiyo. Mosi, Tanzania inaweza kuungana na nchi nyingine katika hatua hiyo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…