The Tech Interactive (formerly The Tech Museum of Innovation, commonly known as The Tech) is a science and technology center that offers hands-on activities, labs, design challenges and other STEAM education resources. It is located in downtown San Jose, California, adjacent to the Plaza de Cรฉsar Chรกvez.
๐๐บ๐ธ โTHE MOON IS OURS.โ
marke
Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. ๐ณ๐
Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? ๐โ๏ธ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
bongo
bongotech255
breakthrough
donald trump
marekani
rais wa marekani
space
tech explore page
techinnovationtech trending
technews
teknolojia ni yetu sote
๐บ๐ธ โthe moon is ours
Netflix imezindua Netflix Clips ๐ฌ๐ฅ
Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima.
Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? ๐ฟ๐ฑ
Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa โApple Reference Imageโ ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. ๐คฏ
Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android.
๐ค Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐คฏ๐ฅ
Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐ฑ๐
๐ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka.
โ๏ธ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker.
๐ Kutengeneza sticker mpya kabisa...