tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwakubusi auliza "Waliodhihaki kuhusu Samia Legal aid vipi leo wamesema chochote kuhusu TBC Live ?"

    Wakili Msomi na Rais wa TLS Boniface Mwakubusi ameuliza kupitia mtandao wa X kama wale walioidhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid kama wamesema lolote kuhusu jambo fulani kupewa LIVE Coverage na TBC.
  2. S

    Lissu akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kumjibu Mbowe, TBC wataurusha live?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari. Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha...
  3. TBC wanaratibu kila kitu kwenye press ya Mbowe why?

    Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe?? Hapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa Poleni watanganyika.
  4. Media ya Umma (TBC) inapoizomea Yanga

    Ni aibu kwa chombo cha habari cha umma kuchapisha habari kishabiki namna hii
  5. Kipindi cha Mizani TBC kwa nini leo Novemba 20, 2024 Dkt. Ryoba hajakiongoza?

    Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Naamini kabisa kuwa aidha Dr Ryoba kakimbia kipindi kuepuka lawama au kaambiwa asiendeshe kipindi...
  6. TBC kwa ili la Kariakoo sioni sababu ya kuundwa sheria ya kuwatambua kama taasisi itakayo jitegemea

    Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła Seriali linatoa huduma, ambapo linategemea kupata Ruzuku Serikalini Kwanini Nasema Tbc hawafai kwenda...
  7. TBC kipindi cha Duru za Siasa, ni unafiki mtupu. Mbona siasa za Tanzania mnazikwepa?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  8. TBC KIPINDI CHA DURU ZA SIASA NI UNAFIKI MTUPU. MBONA SIASA ZA TANZANIA MNAZIKWEPA?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  9. TBC wanaandika Jenerali Musuguri alizaliwa 1920, Mkuu wa Majeshi ameandika katika taarifa rasmi, kwamba Musuguri alizaliwa 1925. TBC mjirekebishe

    Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma. Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
  10. TBC kudhamini ligi ya NBC hatupati value for money

    Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5. Kwanini matangazo ya...
  11. TV Imaan itengewe bajeti kama TBC

    TV Imaan inarusha vipindi vya kuelimisha jamii. Ingefaa itengewe fungu kila mwaka kwa ajili ya kutanua wigo wa Matangazo yake duniani.
  12. E

    TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  13. S

    TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  14. Kwa wastaafu wa TBC waliokuwepo kazini miaka ya 60 na waliokuwa wapenzi wa kusikiliza TBC miaka ya 60, tanzia hii huenda inawahusu

    Miaka ya 60 alikuwepo mtangazaji maarufu jina lake Kwege Munthali, mtangazaji huyu alijipatia sifa sana kutokana na umahili anapokuwa studio kama ambavyo wenzake nao walijipatia sifa za aina hiyo tofauti na hawa tulionao sasa. Bahati mbaya yeye na wenzake walifariki mtaa wa Shaurimoyo Ilala Dar...
  15. TBC hawajui tofauti ya taarifa ya habari na makala.

    TBC huwa siwaelewi sehemu ya taarifa ya habari wao wanaweka makala
  16. TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  17. Serikali yaihakikishia TBC kutatua changamoto zinazowakabili ili iweze kutekeleza dhima yake kwa umma

    Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa akiagana na Mwenyekiti Mgeni rasmi Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa akiwasili katika Ukumbi wa Hazina, kufungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa...
  18. D'jaro Arungu wa TBC Fm

    MTANGAZAJI "DJARO ARUNGU WA TBC FM . Watangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) D’jaro Arungu @djaroarungu (Baba Mzazi) na Abdul Khalifa @seankhalifatz wameshinda Tuzo za The MVAAWARDS zilizotolewa na usiku wa kuamkia leo Septemba 15, 2024 Jijini Lagos nchini Nigeria. Arungu ambaye ni...
  19. Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  20. Kama TBC wameshatoa tamko wewe ni nani ubishe!?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…