tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo sio Magufuli, Watanzania tuna tatizo kubwa zaidi

    Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu. Nilichogundua Watanzania wengi wanaelekeza lawama kwa mtu, wanamkosoa sana Rais wetu, wanamzodoa kwa hatua mbalimbali lakini hawajui...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu kubwa lipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ndiyo maana tunazalisha viongozi dhaifu

    Habari wana jamvi, Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua. Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wahitimu wengi nchini Tanzania lugha ya Kiingereza ni tatizo! Hii ni hadi kwa waalimu na viongozi wakubwa tu!

    Habari wakuu Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Simu yangu haifanyi kazi upande wa Hotspot na Bluetooth hili litakua ni tatizo gani?

    Wataalamu simu yangu haifanyi kazi upande wa Hotspot na Bluetooth. Je, hii itakua ni tatizo gani? Na je linatatulika?
  5. JamiiForums Tanzania Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la mtu mzima kukojoa kitandani. Fahamu chanzo, dawa, ushauri na tiba

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Habari zenu wana jf Dr. Mimi nina tatizo amabalo limekuwa likimsumbua mdogo wangu tangu akiwa shule ya msingi na mpaka sasa yuko kidato cha sita! Yeye amekuwa ni mtu wa kukojoa kitandani tu bila kukata (that means kila siku yeye anakojoa tu!)...
  7. JamiiForums Tanzania Kila njama yao inagonga mwamba wanashindwa kujiuliza tatizo ni nini? Nia zao mbaya zote zimefeli

    Walipoungana na ACCACIA walifeli. Maandamano ya ukuta yalifeli Walipoanzisha uchafuzi kibiti na amboni Tanga walifeli Walipoanzisha agenda ya nchi kutotawalika walifeli Walipoanzisha scandal ya Kupigwa blancons yule wa Ubeligiji ili kuleta taharuki na kuhamasisha fujo walifeli Hoja yao ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kurejeshwa kwenye Cabinet kwa mawaziri Simbachawene na Mwigulu - tatizo ni bulb au holder?

    Kama tunavyokumbuka, wakati mawaziri hawa wakiondolewa walikuwa branded kama "wazembe" na walikuwa almost criminalized na mamlaka ya uteuzi. Mamlaka ya uteuzi imefanya u-turn na kuwarejesha kwenye cabinet with pomp. Maswali ni mengi kwa kweli. Sina uhakika kama majibu yapo ya kutosha. Jee...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo sio mwanamke kupenda pesa, tatizo ni kukuomba hela huku huna hizo hela.

    Oh! Mara yule mwanamke anapenda sana Pesa, mara anatamaa sana. Mara anazingua nampiga chini! Tatizo sio kukuomba fedha, tatizo ni kwamba anakuomba fedha huku wewe huna? Nje ya mada : Dada poa mmoja Alisikika akisema " tarehe za mshahara biashara inakuwa nzuri sana.
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la kifua kwa mama mjamzito

    Matatizo ya kifua wakati wa ujauzito huweza kutokea kwasababu mwili wako unakua na mabadiliko wakati wote wa ujauzito, na mabadiliko kadhaa yanaweza kusababisha maumivu kwenye kifua chako. Kuongezeka kwa tumbo la uzazi kunaweza kuweka shinikizo kwenye misuli ya upumuaji inayofahamika kama...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaojua sheria ya ndoa njooni tujadili kuna tatizo

    Habari za muda huu wanagenzi,leo nimeona nianzishe uzi huu ili niweze kuwashirikisha na nyinyi katika hili ambalo limekuwa likiniumizakichwa kwa kiasi kikubwa kulitafakari kwa muda mrefu bila kulipatia majibu.hivyo kupitia jukwaa hili ni Imani yangu kuwa ninaweza kupata suluhisho juu ya swala...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mtemi Chenge: Corona ni tatizo kubwa, hii bajeti tunayoipitisha sasa lazima tutakuja kuifumua huko mbele

    Mbunge Andrew Chenge amesema Corona ni janga hatari kijamii na kiuchumi na kwamba hata hii bajeti wanayoipitisha sasa lazima watakuja kuifumua baadae ili kuendana na hali halisi baada ya Corona. Chenge amesema hayo wakati akichangia makadirio ya wizara ya maji. Chanzo: ITV habari! My take...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tatizo la msingi

    Police wameongezwa maradufu chato why? Wananchi wa chato kwanini hawaruhusiwi kutoka nje hasa usiku? Mchana hawaruhusiwi kutoka bila kuvaa barakoa why? Wageni kutoka mikoa mingine now hawaruhusiwi kuja chato why? mabasi ya mikoani yanayopita chato yamepunguzwa? na yanayopita yanakuwa chini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wajuzi hapa nifanyeje maana ishakua tatizo, Nimeinstall window 7 gem linagoma

    wakuu yaani kati ya siku yenye laana kwangu ni siku ya leo. Basi leo nimepata kakiherehele ka kwenda kuweka window7 basi jamaa kaweka vizuri 2 then kaniambia machine iko fresh ninaweza kwenda sasa nikaondoka. kufika home nikaifungua ili nianze kuinstall vitu kama hili gem langu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

    Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mna tatizo gani?

    *Hivi majuzi TV ya CITIZEN ya nchini Kenya ilitumia lugha isiyo ya kistaarabu dhidi ya Rais Magufuli kwa kumuita "mkaidi" walipokuwa wakikosoa mikakati yake ya kupambana na janga la Corona ambayo wao wanaona ni mikakati isiyofaa. Baada ya siku kadhaa, Tv hiyo ilijishtukia na kuanza kuomba...
  17. K

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA kuna tatizo gani?

    Tangu jana hapa Mwanza maeneo mengi hayana maji na hii imeleta adha kubwa sana ikichukuliwa kuwa maji ni bidhaa muhimu katika maisha ya binadamu. Ninashauri kila linapotokea tatizo kama hili basi wananchi wawe wanajulishwa ili nao waweze kuchukua tahadhari.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wabunge walio wengi wa CCM wanaamini majimbo ni mali yao binafsi

    Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu. Unaweza kukuta mwanaCCM mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Mwanza-MWAUWASA: Kukatwa kwa maji siku ya pili leo na hili tatizo la Corona!! Huu ni ukatili dhidi ya binadamu viongozi mko wapi?

    Jamani enyi Viongozi wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Ina maana hamlioni hili? Au majumbani mwenu kuna uhakika wa maji muda wote? Siku ya pili sasa Mitaa ya Nyakato, National Buzuruga kote hakuna maji na haya ni maeneo ya stand kunakohitajika maji ya uhakika kwa watu kunawa mikono angalau kujikinga...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 5 wa COVID-19. Waathirika wafikia 32, watatu wafariki dunia

    WAGONJWA WA COVID-19 NCHINI WAFIKA 32, WATATU WAMEFARIKI DUNIA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya watano wa virusi vya Corona nchini, aidha mapema leo wagonjwa wapya wawili pia wametangazwa Zanzibar na kufanya idadi ya wagonjwa nchini kufikia 32. Wagonjwa wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…