tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi?

    Wataalamu na wafundi wa electronics, Nina stabilizer ambayo leo sijaielewa. Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi au kuna tatizo. Na km ni tatizo, litakuwa tatizo gani.
  2. JamiiForums Tanzania Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchukiwa kazini

    Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia. Mimi sio mvivu...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

    Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE. Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako. Kama baby wako amenyooka...
  5. JamiiForums Tanzania Je Kwako kuna generetor!? Umemunua kwa sababu ya tatizo ya umeme yalipo Tanzania

    Sasa Duka Direct inakuletea huduma ya kukuletea mafuta hadi home... Tunaona fursa zilizoko nyumbani kwako... "Power Outage? Fuel for your generator from Assam Oil, delivered to your door with duka.direct! Tap to duka.direct | Food delivery, Shoppers supermarket delivery, Courier Delivery...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno kukaza na maumivu ya mgongo

    Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka maumivu ya mgongo. Sasa nilijaribu kwenda hospitali niliambiwa nina shida ya mawe kwenye figo ya kulia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto kutopenda kunyonya.

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri.Mtoto wangu wa KIUME wa miezi minne anachangamoto ya kunyonya kwa shida sana.Mchana akiwa na njaa atalia sana akipewa ziwa ndo analia zaidi.Akiwekwa mgongoni baada ya muda akashushwa ananyoa kidogo then anapotezea. Usiku akiamka toka usingizini ananyonya vizuri...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu Za Wageni Kufanikiwa Zaidi Kibiashara Afrika Kuliko Wazawa na Nini Tufanye Ili kujinasua na hili Tatizo

    Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
  12. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo au wanastahili?

    Ukweli ni kwamba mimi nikisikia mwanasiasa yeyote sijui katekwa sijui kapigwa sijui kafariki sishtuki hata kidogo na hata tone la huruma halinijii najua ni matokeo ya ugali wanaoutafuta kwa hila za kujifanya wanapenda maendeleo ya watu. Mimi nilivyosikia Sarungi katekwa niliumia sana na wengineo...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo maziwa makuu ni watutsi kujiona lazima waongoze

    Kama ukisoma historia ya maeneo ya maziwa makuu ya Afrika ya kati hutakosa historia ya tawala ya falme za hima zikijulikana kama 'hima empire' na wana historia. Watutsi ni mbari ya kihima. Wahima walijipachika kwa hila au kwa kumwaga damu kua watawala juu ya makabila ya mbari za kibantu. Kabla...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

    Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani Kumradhi, nimeambatanisha na picha =====
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la hii nchi ni ubinafsi

    Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi. Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi. In fact,almasi hatuisikii kabisa. Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school. Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki. Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue Tiba asili kwa watu wenye tatizo la kukosa usingizi (insomnia)

    Hellow wakuu, Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike, Kukosa usingizi sio...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

    Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
  19. W

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ni jambo la muungano ?

    Diplomasia ni jambo la muungano ? Rais - Zanzbar Waziri mambo ya nje - Mahmoud (Zanzibar) MShauri wa rais maswala ya diplomasia - Maulidah (ZAnzibar)
  20. JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Salaam, Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…