tasaf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

    Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
  2. J

    Fedha za TASAF zimeongezwa kutoka Tshs Bilioni 2 hadi bilioni 6

    == Katika sekta ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa miongozo ya kuyawezesha makundi mbalimbali ya jamii kuimarisha uwezo wao wa kushiriki shughuli za maendeleo na kuleta usawa wa kiuchumi. Katika kipindi hiki, kumekuwa na ongezeko la vikundi vinavyonufaika na...
  3. GE2025 Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau: Kuna Majina hewa yanapewa hela za TASAF

    Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili. Chanzo: Kikeke Digital Pia soma ~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
  4. Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

    Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen Hii ni Tasaf au NSSF?
  5. Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  6. TASAF walamba TZS383bn

    TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi...
  7. Dodoma: Zaidi ya bilioni 11 zatumika kulipa wanufaika TASAF

    Billion 11,123,585,402.18 zimetumika kuwalipa wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Rosemary Senyamule wakati akifungua kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji ya mpango huo. ‘’Serikali ya awamu...
  8. Bilioni 162 zimefikishwa kwa walengwa wa TASAF

    BILIONI 162 ZIMEFIKISHWA KWA WALENGWA WA TASAF Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Ruzuku ya shilingi bilioni 162 ilihawilishwa kwa kaya za walengwa 906,669 zenye jumla ya wanakaya 3,769,582 ili waweze kujikimu na mahitaji ya msingi. Wanakaya hao ni kutoka katika...
  9. PreGE2025 Kaya 2,874 zimehitimu kupokea ruzuku za TASAF wilayani Chemba

    Kaya 2,874 zimehitimu kupokea ruzuku za TASAF wilayani Chemba. Wilaya ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ambapo kaya 6,990 zenye jumla ya walengwa 23,000 zimenufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini. Kupata matukio na...
  10. W

    Kaya 2,000 'zahitimu' za kupokea fedha za TASAF

    Halmashauri ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ili kusaidia ruzuku kwa kaya masikini wilayani humo. Mratibu wa TASAF wa Halmashauri ya Chemba, Simon Butondo, alieleza kuwa kati ya fedha hizo, Shilingi bilioni 2.1 zilitengwa...
  11. PreGE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika. Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
  12. PreGE2025 Kongwa, Dodoma: TASAF yakabidhi nyumba za walimushule ya sekondari Chitego

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wameshukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbal inayotekelezwa na TASAF nchini. Salimu Mshana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba za walimu (familia nne) wa shule ya Sekondari...
  13. Naibu Waziri Sangu Ataka Kanzidata za Wanufaika wa TASAF

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka Kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao ni wanufaika na mikopo ya elimu ya juu kwa...
  14. Pambalu: Watu wanachimbishwa mitaro kupata pesa za TASAF

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF). Pambalu...
  15. PreGE2025 Simiyu: Miradi ya TASAF yatakiwa kukamilika kabla ya mwezi Machi 2025

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umewataka wataalamu wanaosimamia miradi ya kupunguza umaskini kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini awamu ya tatu (TASAF III) Mkoa wa Simiyu kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kabla Machi 2025. Mbali na miradi hiyo kukamilika, mfuko umewataka...
  16. Waziri Simbachawene amjibu Mbowe kuhusu kauli yake ya TASAF na umaskini nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa...
  17. Mbeya: Serikali imeshindwa kutengeneza barabara, sasa wanatumia wazee kufanya kazi kutengeneza barabara ndipo wawape pesa za TASAF

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ulianzishwa kwa lengo la kunusuru kaya masikini na kusaidia wananchi wasiojiweza wakiwemo wazee. Baada ya kufikiwa na mpango huo kwa baadhi ya wananchi waliopo kijiji cha Shibolya kilichopo wilaya na Mkoa wa Mbeya ulionekana kuwa msaada mkubwa katika...
  18. M

    DOKEZO Responded Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira ya ubababishaji

    Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna changamoto kubwa kwa wasimamizi wa mfuko wamekuwa na utata sana kwa walengwa wanaopokea pesa kutoka TASAF...
  19. Tanzania kupewa Tsh. Bilioni 779.9 kutoka Benki ya Dunia kwaajili ya utekelezaji wa Mradi wa TASAF

    Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
  20. Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

    Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii! Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…