tarime

  1. DuaZaMama

    Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  2. ELI COHEN

    Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  3. R

    Polisi kuanza uchunguzi vifo vinavyodaiwa kuhusisha Askari- Tarime, Arusha na Rufiji

    AARIFA KWA UMMA UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji. Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
  4. Genius Man

    Tarime: Wananchi wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kudaiwa kuuawa

    Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa. Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa kiholela ambao una mfungamano na kuungwa mkono na Serikali ya Samia.
  5. Chibike

    Mambo ya kiroho kuelekea Desemba 09 huko Tarime

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida afisa mmoja wa polisi Tarime mkoani Mara ameshambuliwa na nyuki hadi kupoteza maisha akiwa kwenye mgahawa wa chakula mjini Tarime, tukio hilo lilitokea siku ya jumamosi Disemba 6 mwaka huu kwenye moja ya migahawa maharufu mjini hapa, hata hivyo chanzo...
  6. R

    PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. Genius Man

    Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa

    Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa Mnajua ndugu yenu yupo wapi hivi sasa hatuwezi kufanya amani kwenye mazingira kama haya tupaze sauti tumuokoe ndugu yetu. lazima tuzuuie huu uchaguzi ila mambo haya yaishe
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru

    Mambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru. Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa! ================ Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu...
  9. Just Pray

    Tarime wanakiwasha, bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi

    Huko Tarime wenzetu wapo mbele ya muda sana, Asubuhi ya leo bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi.
  10. ELI COHEN

    Wilaya ya Tarime ilikuwa mji wa roho mkononi

    2010 kurudi nyuma tarime ilikuwa uwanja wa vita. Sio majambazi, Sio vita vya koo, Sio vikundi vya magenge, Sio vikundi vya wizi wa ng'ombe, Sio matukio ya kuachiana hospitali au mochwari. Kuna serial killers walioibuka wakati tofauti, wakawa wanakawa wanatembea na bunduki na wanakuuliza hiki...
  11. T

    GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo. Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa. Lakini rufaa ya...
  12. Waufukweni

    GE2025 Baadhi ya Wananchi Tarime waandamana hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani, Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe

    Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
  13. T

    GE2025 TARIME MJINI: CCM Makao makuu wanapambana kufanya maridhiano mgombea ubunge ACT - Wazalendo ajitoe kumuokoa Esther Matiko asiyekubalika

    Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini. Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
  14. JanguKamaJangu

    GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  15. JOHNGERVAS

    Makaburi saba yakutwa ndani ya Kanisa Huko Tarime

    Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi Taarifa kamili hii hapa https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Msaidizi wa mbunge mstaafu akamatwa na TAKUKURU Tarime

    Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Tarime kwa tuhuma za kuendesha mikutano ya kisiasa kinyume na taratibu za Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Inadaiwa...
  17. Just Pray

    GE2025 Esther Matiko atinga mbele za wajumbe kuwashawishi wampitishe kuwa mgombea wa ubunge Tarime mjini

    Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni. Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
  18. M

    Nahitaji kazi, nipo Tarime

    Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
  19. M

    Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

    Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo ni; 1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
  20. incredible terminator

    Niliyoyashuhudia kutokana na mwingiliano wa Kenya na Tanzania mkoani Mara wilaya ya Tarime

    Habari wanaJamii Forums. Leo katika nimekumbuka visa kadhaa na matukio ambayo niliwahi kuyashuhudia miaka kadhaa iliyopita huko mkoani Mara wilaya ya Tarime. Terminator nimezaliwa miaka 37 iliyopita huko mkoani mara Wilaya ya Tarime kabila ni Mkurya.. Wa Tarime katika kijiji cha Kubiterere...
Back
Top Bottom