tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kumpiga Iddi Amin kwenye vita ya Kagera, tulipaswa kuwashukuru raia wa Uganda na Rais Kenyatta

    Nimekaa natafakari hapa , kama tusingekuwa na back up ya raia wa Uganda ambao walikuwa wamechoshwa na uonevu wa King of Scotland hakika ile vita zingepigwa sana. Tusidanganyane , raia wa Uganda walikuwa wakiuza ""InFo" kwa majeshi yetu bei buree kabisaa ndio maana jeshi letu liliweza...
  4. JamiiForums Tanzania Yale mavitu ya AFCON Morocco, nikiiangalia Tanzania inatia huruma

    Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje. Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek picha za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja. Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi. Njoo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  6. JamiiForums Tanzania Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027

    Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027. Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi...
  8. JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tuition (mikoa yote Tanzania)

    Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi? Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania HUDUMA ZETU Tunatoa Home Tuition kwa: Awali (Nursery) – Msingi – Sekondari – Chuo Mitaala yote NECTA Cambridge IB Montessori...
  10. JamiiForums Tanzania Doctor Vs Nurses Tanzania

    Hii inashangaza sana mambo ya masilahi kama Miundo ya mishahara utasikia anaetajwa ni Doctor,, ikitokea jambo la kuvulunda utasikia Nurse kafanya lawama zote zinatolewa hapo, utasikia na vikao vya baraza 🤔🤔 Viongozi badilikeni hakuna alieenda shule kucheza tu.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  12. H

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND

    TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND

    TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki maonesho ya utalii nchini Finland

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour. Maonesho hayo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ikisimamia Sheria vizuri itafanikiwa zaidi ya Mataifa makubwa

    Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Tanzania spends $1 Million to hire Republican-Linked firm to Repair Image After Electoral Crisis and Push Mining

    Friday 16, Jan. 2026 WASHINGTON, D.C. — Facing international scrutiny following a damaging electoral crisis, the Government of Tanzania has launched a significant influence operation in the U.S. capital. The East African nation has retained a firm led by a former Republican Congressman to...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sababu mfumo wa Kichina wa Chama kimoja hauwezi kufanikiwa Tanzania?

    Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya yanawezekana. au la. Kwa mawazo yangu haiwezekani kwenye jamii ya Watanzania kwasababu chache tu 1. Jamii...
  19. M

    JamiiForums Tanzania New Investigation Reveals Scale of Deadly Crackdown Following Tanzania's 2025 Election

    Fri 16, Jan 2026 LONDON/DAR ES SALAAM — A comprehensive new investigation released today by the Centre for Information Resilience (CIR) has uncovered damning digital evidence of targeted killings, mass graves, and widespread human rights abuses in Tanzania following the October 2025 general...
  20. JamiiForums Tanzania Saida Karoli na Rose Muhando hawa ndo wasanii bora wa muda wote Tanzania

    Hapa Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata vipaji kama Saida Karoli na Rose Muhando. Hawa ndo wasanii bora wa muda wote hapa Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…