tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afrika usisafiri Tanzania usihame

    AFRIKA USISAFIRI, TANZANIA USIHAME Kwanza nilishtuka kwa mshangao wa bashasha baada ya kuona maneno ya Kiswahili katika ardhi ya Korea, “Afrika Safari” ndivyo yalivyosomeka huku yakipambwa na picha za wanyama wa aina mbalimbali kama vile Simba, Chui, Twiga, na Tembo. Furaha yangu ilianza...
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni 19 za Kimarekani kuangalia fursa za uwekezaji Tanzania

    DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa sheria za Tanzania hii watafungwa wengi

    Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2. Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili. Sasa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwekeze zaidi kwa watoto na vijana kwa maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  7. JamiiForums Tanzania Udugu wa Kenya na Tanzania ni wa damu

  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ni nchi moja yenye Serikali mbili

    Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia lugha ya kiswahili ili kuwasiliana na wananchi wake walakini serikali B hutumia lugha ya kingereza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tamko la Balozi wa Tanzania nchini China kuhusu Mtanzania aliyehusishwa na Udhalilishaji wa mwanamke China

    Kutokana na tukio lililosambaa mitandaoni ambapo Usalama wa Umma wa Xi'an uliripoti tukio la wanaume wa Kitanzania kuwanyanyasa wanawake, Ubalozi wa Tanzania nchini China umethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo umesema kuwa umeomba mamlaka kumlinda kijana huyo na uchunguzi kufanyika kupata...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya juu kwa maendeleo ya Tanzania

    ELIMU YA JUU TANZANIA Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa mafanikio ikiwa na maana ya kuwa ni wajibu wa kila mtu kuipata bila kuzingatia hali ya Maisha, jinsia...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ntafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia

    Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu. Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo. Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo. Edwardo...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Uber, Bolt kurejesha huduma Tanzania

    Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
  16. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania

    Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania. Utangulizi; Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…