tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SAT Tanzania Vacancy, Finance and Accounting Manager

    SAT Tanzania Vacancy, Finance and Accounting Manager SAT Tanzania Vacancy, Finance and Accounting Manager Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) Dar es Salaam JOB TITLE: Finance and Accounting Manager Job Description As the Finance and Accounting Manager, you will lead the financial...
  2. R

    JamiiForums Tanzania What are the Key Features of Democracy? Je, Tanzania tunazo sifa za kuitwa nchi ya kidemokrasia?

    What are the Key Features of Democracy? Democracy is the most successful political idea in the world. Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised...
  3. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024. Inadaiwa alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi maeneo ya Kariakoo na baada ya hapo...
  4. JamiiForums Tanzania World Bank suspends Tanzania tourism funding after claims of killings and evictions

    The World Bank has suspended financing intended to develop tourism in southern Tanzania after allegations of killings, rape and forced evictions. The bank began investigating last year after being accused of enabling abuses around Ruaha national park, which was due to double in size as part of...
  5. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa chemical and process engineer Tanzania

    Habari wana jamii forum, chemical and process engineering ni kozi nzuri sana kwa sasa japo kupata nafasi ya kuajiriwa ndio changamoto. Naomba tutumie uzi huu kuandika fursa mbali mbali zinazohusiana na hii taaluma kwenye viwanda au taasisi mbali mbali.
  7. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa sana hili 3. Hujipendekeza kwa Wanadamu. Hana msimamo, hajui anasimamia nini. Msimamo wake...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi mbalimbali

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini. Rais Samia ametoa pongezi...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta hawa 'Grass cutter' hapa Tanzania

    Natafuta hawa viumbe niwafuge, naona wanaigeria wanakazana kuwafuga, nami nimevutiwa. Anaewajua jina kwa kiswahili anaweza anasema.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya UVCCM kwenye kongamano la miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 🗓️21Aprili, 2024 📍Zanzibar Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika Kongamano la UVCCM kuelekea Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 1. Vijana wa Chama cha...
  11. JamiiForums Tanzania Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

    Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
  15. JamiiForums Tanzania Assistant Lecturer at Tanzania institute of Accountancy - TIA

    POST ASSISTANT LECTURER – LAW(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER TIA APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY OK DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To prepare learning resources for practical and tutorial exercises; ii. To conduct research, seminars and case studies; iii. To carry...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena. Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri akituhumiwa kunyanyasa mwajiriwa lakini hakuna chombo kinachochunguza na hata wanaotaka kuchukua hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

    Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
  19. JamiiForums Tanzania Public Health Specialist (HIV Prevention Branch Chief) (CDC) at U.S. Embassy in Tanzania

    About Announcement Number: DaresSalaam-2024-019 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Public Health Specialist (HIV Prevention Branch Chief) (CDC) (All Interested Candidates) Open Period: 04/16/2024 – 04/30/2024 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0550 12...
  20. JamiiForums Tanzania Radio/Telephone Technician at U.S. Embassy in Tanzania

    About Announcement Number: DaresSalaam-2024-020 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Radio/Telephone Technician (All Interested Candidates) Open Period: 04/16/2024 – 04/30/2024 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0615 6 Salary: TZS TSh25,503,476 /Per...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…