tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania China ilikuwa sawa na Tanzania, leo wao sawa na Marekani

    Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje? Na hizo njia walizotumia kujikwamua ni siri kiasi kwamba sisi hatuwezi kufuata?, ikanibidi nitafute...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

    Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania. Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaipita Kenya kwa Huduma ya Maji Safi na Salama

    👇🏿
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi

    SIASA; 1. Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki, Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi za kupigia kura, Wananchi wanaweza kupiga kura kwa njia ya simu zao za mkononi au kompyuta ili kuongeza ufanisi na ni vyema mfumo huu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania upinzani uliasisiwa ili kudanganya mataifa mengine kuwa kuna demokrasia

    Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi hawakuzidi asilimia 22, wakapewa Kwa hila huku mifumo ilibakia ileile ya chama kimoja, katiba, tume ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  7. JamiiForums Tanzania Branch Manager at DP World Tanzania April 2024

    Branch Manager Branch Manager at DP World Tanzania April 2024 Job Function The Branch Manager for a Freight Forwarding branch office is responsible for overseeing and managing all operational and administrative aspects of the branch. This position requires strong leadership skills, excellent...
  8. JamiiForums Tanzania Badoo ni danguro rasmi la biashara ya umalaya Tanzania.

    Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango kikubwa cha wanaume ambao wapo na programu hizi kwenye simu zao wanatafuta makahaba. Mwezi ulioisha...
  9. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kutatua matatizo yote ya Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi maslahi ya Tanganyika kwenye Muungano na Zanzibar yanatetewaga na nani?

    Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano. Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

    Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania. Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Jiolojia Unathibitisha Uwezekano wa Rasilimali Muhimu katika Maeneo ya Kimberlite ya Tanzania: Je, Almasi Zaendelea Kupatikana?

    Kimberlites ni miamba ya kipekee ambayo mara nyingi hufanana na mianzi ya juu ya koni na ambayo ina uwezekano mkubwa wa kuwa na almasi. Hii ndio kimberlite ilivyokamili kabla ijapata mabadiliko ya kijiolojia: UGUNDUNZI: Kimberlite iligunduliwa kwa mara ya kwanza huko Kimberley, Afrika Kusini...
  14. JamiiForums Tanzania Muuza Madafu: Mimi siyo Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda ninayefananishwa naye

    Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa ndani. Kijana muuza madafu ameujulisha umma kuwa yupo tayari kukutana na afisa usalama ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

    Wanabodi, Karibuni,
  16. JamiiForums Tanzania Kijiolojia na Kisayansi: Upekee wa Muundo wa Ardhi ya Iringa, Tanzania

    Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika. Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya kijiolojia ambayo imeunda miamba ya kale na muundo wa ardhi unaopatikana huko. Miamba ya kale...
  17. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Rangi: Kinyonga wa Madini Tanzania

    Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na kivuli cha giza kinachofahamika kama "tajiri wa rangi," ambaye mara nyingi huwa kama kinyonga kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni albam gani ya wasanii wa hiphop Tanzania uliisikiliza na kuiona ni albam bora na siyo bora albam??

    hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania (1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Good Samaritan (msamalia mwema) ni muhimu ili kuwaokoa majeruhi

    TANZANIA TUNAHITAJI SHERIA YA MSAMARIA MWEMA ILI KUWAOKOA MAJERUHI Ndugu Viongozi wetu Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law. Sheria hii itawezesha kuokoa maisha ya watu wengi waliojeruhiwa, hasa na ajali za barabarani tofauti na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…