tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Safari katika barabara za Tanzania ni Changamoto

    Kwa kweli matrafiki ni wengi sana barabarani. Hawatoi elimu kuhusu matumizi ya barabara, lugha yao ni kupiga faini tu. Inachosha kwa kweli. Nimewahi kufanya safari ya usiku sikuona traffic hata mmoja. Lakini nilifika salama. Lakini mchana ni balaa. Mfano wanasimama na camera yao kwenye kibao...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya mawazo katika kuweka msingi na kujenga Tanzania ya baadaye

    Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili. Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho Ukumbi wa Mwalimu Nyerere

    Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho 21 Mei 2024 Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Mkoani Dar es Salaam na Kilele chake kufanyikia Mkoani Tanga. Akiongea na Vyombo vya habari, leo tarehe 20 Mei 2024 Mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia...
  4. JamiiForums Tanzania Joke: Utajuaje hapa ni Tanzania?

    Ukiona hivi vitu basi jua upo Bongo Tanzania Tupia aina kibwagizo
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika kilimo cha matumizi ya teknolojia kunaweza kuwa kichocheo cha maendeleo makubwa ya kilimo Tanzania

    UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo, matumizi ya Teknolojia za Kilimo yanaweza kubadilisha hali hii na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Maono ya kibunifu katika nyanja ya afya kwa miaka 25 ijayo

    Utangulizi Tanzania inajivunia historia ya maendeleo katika sekta ya afya, lakini bado kuna changamoto zinazohitaji ubunifu na maono ya muda mrefu ili kuboresha hali ya afya ya wananchi. Maono haya yanajumuisha mipango ya kibunifu ambayo inaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  8. JamiiForums Tanzania Giving back to the community

    Habari zenu, Giving back to the community ni program moja nzuri sana ya kuirudishia jamii au kuwafanyia jambo jamii kwa kujitolea, tumekua tukiona baadhi ya makampuni wakifanya donation au charity events, sio makampuni au taasis zote zinafanya ili jambo, Kuna baadhi ya viwanda vilivyopo Tanzania...
  9. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadili mfumo wa elimu ili kusaidia jamii

    Utangulizi Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne) Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza kukidhi matarajio ya wanafunzi wengi pamoja na wale wanaohangaika kuwasomesha. Wakati wanafanya...
  10. JamiiForums Tanzania Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni yenye wananchi na viongozi wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu

    UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
  12. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanahitajika katika mfumo wa elimu ya Tanzania katika miaka kadhaa ijayo

    Katika elimu ya chuo kikuu. 1: Kwenye mfumo wa elimu ya chuo kikuu kwa sasa mwanafunzi anapoanza chuo huwa anasoma masomo mengi tofauti tofauti ambayo mengine ni nje ya kile ambacho amelenga kukisomea. Kwa maoni yangu mimi naona pale mwanafunzi anapoanza chuo kwa mwaka wa kwanza ningeshauri kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tazamia mabadiliko manne (4) makuu katika ukuaji wa Akili Mnemba (AI) nchini Tanzania 2024

    Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania. Kama unajiuliza kuwa akili mnemba ndo ipi jamaa kadadavua hapa vizuri: Nini Maana ya AI (Akili Mnemba) Sasa, turudi kwenye mada...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameshawahi kupona ugonjwa wa Homa ya Uti wa mgongo hapa Tanzania?

    Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
  15. JamiiForums Tanzania Bodi ya utalii tanzania kuendelea kuutangaza mlima meru

    BODI YA UTALII TANZANIA KUENDELEA KUUTANGAZA MLIMA MERU Wizara ya Maliasili na Utalii kupita Bodi ya Utalii itaendelea kuutangaza Mlima Meru pamoja na Hifadhi ya Arusha, Hifadhi ya Misitu Ziwa Duluti na Maeneo ya Utalii wa Utamaduni katika vijiji vinavyozunguka Mlima Meru kama vivutio vya...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Vitu hivi vitasaidia kuifikia Tanzania Tuitakayo

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni nchi inayopatikana barani afrika katika ukanda wa afrika mashariki, ni nchi iliyojariwa vyanzo mbalimbali vya kuvutia kama madini , mbuga za wanyama mbalimbali, milima, mito na reli za kisasa Vitu ambavyo watanzania wengi wanapenda kuiona Tanzania ikipiga hatua...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Wadudu protein(Edble insects) wanaweza tusaidia kupunguza kiwango cha utapia mlo kwa Watoto Tanzania

    Utapia mloa ni changamoto kubwa sana Tanzania, na utapia mloa ni ukosefu wa virutubiaho muhimu mwilini hasa sana Protein. Utapia Mlo ni ugonjwa wa Aibu kubwa sana hivyo ni lazima tuchukue hatua sasa. MWaka 2023 Wakati Raisi Samia akizima Mwenge kule Babati Manyara alikili kwamba Pamoja na na...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Fanya Biashara Kidigitali

    Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi kuwafikia wateja wako. Huduma izo ni kama; => Product Label & Packaging Design => Product Ads Design =>...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar... Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa. Lucas...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…