tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Siri ya mkopo wa Korea kwa Tanzania mpaka 2070

    Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama wasio-wazalendo wanavyopotosha...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika sekta ya uchumi

    Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba. Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji kufanya Mambo yafuatayo Ili kuifikia Tanzania tuitakayo baada ya miaka 25. 1. Viongozi kuwa wazalendo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo ya Tanzania sekta ya ujenzi na makazi (miaka 5- 15)

    Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho. Tanzania inakumbana na changamoto nyingi kama vile watoto wa mtaani , wezi ni kwa sababu ya marafiki au malezi ya wazazi. Kero kubwa ikiwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo 2050: Miundombinu ya kukabiliana na mafuriko isanifiwe kiuhandisi kuakisi ongezeko la watu na ukuaji wa makazi nchini

    Utangulizi: Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
  5. JamiiForums Tanzania Sh. 500 ya Kenya inakaribia 10,000 ya Tanzania?

    Inatia hasira. Wana fedha kaeni mkijadiri iweje jero ya kiwe 10elf ya bongo. This is not right
  6. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini. Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Transforming Tanzania: SANITTA’S Vision for a Cleaner Future

    Introduction Tanzania, often celebrated for its stunning landscapes and rich cultural heritage, faces a critical challenge: widespread sanitation issues. Despite global advancements in urban cleanliness, Tanzania's cities such Dar es salaam, Mwanza, Morogoro and so many struggle with waste...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Elimu kidigitali kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania hasa wanapokuwa nyumbani

    Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa maarifa na ujuzi. Elimu hii inajumuisha matumizi ya zana na...
  10. JamiiForums Tanzania Hali ya Uripoti wa Habari Tanzania 2022 (Utafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam)

    Utangulizi 1.0 Utangulizi Tangu kuzinduliwa kwa ripoti kamili ya Mradi wa Ubora wa Vyombo vya Habari Tanzania “Yearbook on Media Quality in Tanzania” mwaka 2018, tayari ripoti tatu zimeshachapishwa. Ripoti zote tatu, zimeelezea kwa kina ubora wa uripoti wa habari nchini na kwa hiyo ripoti hizo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania

    Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania 1. Utangulizi Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za afya bora, rasilimali chache za matibabu, na upungufu wa wataalamu wa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyeidanganya EFF ya Afrika ya Kusini ndiye anayeidanganya ACT Wazalendo ya Tanzania?

    Julius Malema wakati wa harakati zake za kisiasa na wakati wa Kampeni za mwaka huu, alijiegemeza Sana kwenye kukishambulia chama cha siasa cha pili kwa ukubwa nchini Afrika ya Kusini. Malema alikuwa anaonesha kuwa tatizo la Afrika ya kusini ni "wazungu" wanaobebwa na ANC kuwepo kwake...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kama nchi tujipange kurekebisha uchumi wetu

    Kila kukicha uchumi wetu unaporomoka. Leo hii Dollar moja ya Kimarekani kwa ubadilishaji(exchange rate) inakimbilia kuwa T.shs.3,000. Wenzetu wa Kenya juzijuzi fedha yao ilikuwa inabadilshwa kwa Dollar moja ya Kimarekani (exchange rate) Ke 163 na sasa imeshuka mpaka Ke 143 kwa Dollar moja...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo katika sekta ya elimu

    Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:- 1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Are we in the battlefield or have we ceased the war? No surrender, but Tanzania must declare a new war!

    The war needs the captain who is full packaging like a product with clear philosophy guided by new vision that clearly identify national interests that all Tanzanians must defend; the war that put people first and encourage participatory democracy and promote active citizenship through...
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Focusing on positive: How to influence and motivate behavioral change in Tanzania

    As teachers, parents, health professionals, and counselors who guide individuals on various important life issues, we strive to educate and advise those we love on various matters to consider for success in life and overall well-being. But in most cases people are rarely changing from bad habits...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Breaking Myths: The Truth About Broiler Chickens in Tanzania

    In Tanzania, there are many myths and misconceptions surrounding the consumption of exotic poultry, particularly broilers, which limit their consumption in various regions. These beliefs are often rooted in a lack of understanding, ignorance, and sometimes deliberate misinformation. Admittedly...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua uwezo wa teknolojia ya Tanzania: Mikakati kwa maendeleo endelevu ya teknolojia

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari kuelekea maendeleo ya kiteknolojia, lengo likiwa kutumia nguvu ya uvumbuzi kwa ajili ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya kijamii. Hata hivyo, nchi inakabiliana na changamoto kadhaa katika uga wa teknolojia, ikiwa ni pamoja na upatikanaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…