tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Maoni ya Baba wa Taifa kuhusu nguvu ya vijana katika kujenga taifa lao

    MANENO YA MWALIMU NYERERE “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa; vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mihemko na kupanic ndio tatizo mtambuka la vijana wa Kitanzania

    Imekuwa ndio utambulisho wao, na vyama vyao. The tone of their articles, styles of their replies and comments, the languages they use in conversations and engagements, represents fully their political blocks they belong. Mihemko, panic, ghadhabu na hasira miongoni mwao zimekua zikiwachochea...
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya soka Tanzania: Njia kuu za kuleta maendeleo na mafanikio

    Michezo haswa soka, ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko makubwa katika Tanzania. Michezo ni zaidi ya burudani tu kwani inaweza kuwa injini ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, ili kufikia hilo ni muhimu kufanya mabadiliko katika tasnia ya michezo. Katika makala hii, nitaangazia...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Maono ya kibunifu kwa miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo

    TANZANIA TUITAKAYO: MAONO YA KIBUNIFU KWA MIAKA 5, 10, 15 HADI 25 IJAYO Utangulizi Tanzania, taifa lenye rasilimali nyingi na watu wenye ari ya maendeleo, linahitaji kuwa na maono ya kibunifu na mikakati madhubuti ili kufikia maendeleo endelevu. Katika kipindi cha miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kama wanataka kutengeneza Tanzania galacticals +?

    yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa. mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, ) defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders ) forward ( mzize, guede, dube, mpole...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kesho ya Tanzania inategemea maendeleo ya teknolojia

    KESHO YA TANZANIA INATEGEMEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA. 1.0. Utangulizi. Teknolojia, kulingana na ensaiklopedia ya Britannica inaamanisha utumiaji wa maarifa ya kisayansi kwa vitendo kwaajili ya maisha ya mwanadamu au, kama inavyosemwa wakati mwengine, kwa mabadiliko na uendeshaji wa mazingira ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM msipoteze muda wa Tanzania hatuwezi kuwa kama China!

    Kwa muda mrefu sasa hii nchi yetu pendwa Tanzania imekuwa imesimamisha kimaendeleo na upotofu wa chama tawala cha CCM Upotofu ni kwa wana CCM kujilinganisha na chama tawala cha kidikteta cha China. Yaani tunataka kufuata uratatibu wa demokrasia kama nchi lakini chama bado kina fikra potovu ya...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

    https://x.com/i/status/1804579043171299343
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Turekebishe maeneo yafuatayo ili kushuhudia mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania

    Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya watu wote kila kiongozi na raia atambue wajibu wake na kutekeleza kikamilifu. Maamuzi magumu...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaoishi na chawa mmegundua siri gani?

    Kule kwetu watu wenye chawa walikuwa wakijisikia aibu, lakini nasikia huko kwenu ni ufahari kuwa na chawa wengi! Kule kwetu tulikuwa tukuzichemshia maji nguo zenye chawa, lakini nasikia huko kwenu mnazilisha na kuzihudumia vizuri! Kule kwetu tulikuwa tukikosa usingizi chawa wakivamia vitanda...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Climate-Smart Coffee: A 10-Year Vision for a Resilient and Sustainable Coffee Sector in Tanzania

    Climate-Smart Coffee: A 10-Year Vision for a Resilient and Sustainable Coffee Sector in Tanzania 1. From Crisis to Opportunity: Tanzania's Coffee Sector in 2023 Tanzania's coffee sector is at a crossroads, grappling with the harsh realities of climate change. The Tanzania Audit Report...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya 2049

    Wakati Tanzania inapokimbizana na ukuaji wa uchumi, tunapendekeza dira ya taifa ambalo linaweza kutumia vyema mgao wake wa kidemografia, kuunda jamii yenye ustawi, endelevu na jumuishi. Dira hii, "Tanzania Tuitakayo," inaelezea mkakati wa kina wa kuleta mabadiliko katika nchi yetu katika kipindi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanayotakiwa kufanyika katika stesheni za mabasi ya usafirishaji (abiria) ili kuifikia tanzania tuitakayo

    Sekta ya usafirishaji ni moja Kati ya sekta muhimu Sana kwenye maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Sekta hii inahusisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria. Sekta hii imeonekana haina mchango mkubwa katika pato la taifa kutokana na usimamizi mbovu haswa katika Stesheni nyingi za mabasi ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Tatizo la ajira lifike kikomo

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Kama lilivyo tamu kulitamka jina la nchi yangu Tanzania ndivyo ninavyotamani kuona mabadiliko ya kijamii na kichumi kwa ujumla viwe na ladha hiyo ya utamu. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wasomi wasio na ajira tangu mwaka 2015 hii Kutokana na sera na mabadiliko...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya Idara, Taasisi na Wizara za Serikali ya Tanzania

    Orodha ya Taasisi Wizara, Idara na Wakala [ 326 ] Taasisi [ 36 ] Mifuko [ 14 ] Mfuko wa Pensheni [ 0 ] Wizara [ 26 ] Idara Zinazojitegemea [ 42 ] Mfuko wa Barabara [ 0 ] Mamlaka [ 56 ] Wakala [ 35 ] Bodi [ 40 ] Mabaraza [ 23 ] Tume [ 24 ] Kampuni [ 9 ] Mashirika ya Umma [ 21 ] Namba...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo. Kuendeleza uchumi wetu na biashara kama jinsi mama Rais

    Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia: 1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani. 2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao. 3. Kusimamia vzr mapato ya serikali 4. Kukomesha rushwa kila kwenye mianya rushwa. 5. Kila mmoja awe mbunifu kutafuta njia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Responding to immediate challenges and setting Tanzania up for the future

    Someone will think about the future. It had better be us. Imagine that it’s 7am, January 1, 2050.What world would you be waking up to? What world would you want to wake up to? Obviously, no human interaction occurs in a vacuum, and can ever be considered independent of context. Context is often...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…