tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania kila kukitokea Jambo lisilo jema, la mjadala na la kuichafua Demokrasia ya nchi huamua Kulifunika kwa Teuzi za ghafla?

    Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania lazima aongoze nchi akiwa Tanganyika?

    Tanzania ni Moja chini ya muungano. Kwanini Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lazima akae bara hata kama ni mzanzibar? Hawezi kukaa Zanzibar na kuiongoza nchi?
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza, Watawala wanatuaminisha kuwa CHADEMA ndiyo chama tawala Tanzania.

    Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo. Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba. UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kutetea Polisi wa Tanzania, waacheni wapambane na hali yao

    Viongozi wa CHADEMA ifkike mahala mkubali kuwa hawa watu so rafiki kwenui kwa vitendo wanaowafanyia, hivyo ni busara kuacha kabisa kwasemea ikiwemo kutetea masilahi ya Polisi wa nchi hii kama ambavyo mmekuwa mkifanya Bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Acheni kabisa kuongelea hali za makazi...
  6. JamiiForums Tanzania Ninahisi nguvu ya sasa ya CHADEMA ni kwa hisani ya CCM, tunahitaji Upinzani halisi

    Tanzania ina Jumla ya vyama vya Siasa 19, ACT Wazalendo kikiwa ni chama mwisho kusajiliwa May 2014. CUF na NCCR MAGEUZI ya kina Mbatia walijaribu kuwa wapinzani halisi lakini wakadhohofishwa. CCM ni chama kikubwa na kina mbinu Nyingi sana ninahisi kinaipa nguvu ya kifedha CHADEMA kwa faida...
  7. JamiiForums Tanzania Nashangaa wanaolaumu wenzao kuwa hawajafanya kitu katika nchi huku nao hawafanyi kitu

    Yaani kuna kitu huwa nashangaa sana utakuta humu mtu anasema vijana wanashinda kuzungumzia mpira hawalipambanii Taifa yaani mtu anaongea kama mwenyewe sio Mtanzania, yaani anamlaumu wenzake wakati naye yupo hai anaona yanayoendelea nchini na hajafanya chochote sijui anataka nani ampambanie. Hao...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

    Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
  9. JamiiForums Tanzania Mshana Jr na Robert heriel nimefatilia maandiko yao nimegundua Tanzania watu wenye akili bado wapo

    Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi. Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga. Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU. Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na...
  10. JamiiForums Tanzania Masauni apokelewa na Ubalozi wa Tanzania- Comoro

    Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro leo Agosti 13, 2024 umempokea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni ambaye alitembelea Ubalozini na kusalimiana na watumishi. Akiwa Ubalozini alipokea taarifa ya kituo na masuala ya Watanzania waishio...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Olimpiki tufanye hivi

    Tanzania Mungu katupa kila kitu. 1. Kwa upande wa riadha tunajua kabisa wakimbiaji wanatoka upande gani wa nchi hii. 2.Tuwafuate huko walipo hasa vijana na watoto tuwekeze nguvu na mafunzo. 3.Tuwawezeshe kwa kila namna kazi yao iwe ni kukimbia tu. Nakadhalika na kadhalika. Hata ki biashara...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kuagiza bidhaa ambazo haziji tanzania

    Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION. Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi kuwa shiped Africa. Kuna mtu aliniambia nicheki PROSHIP ila sina uhakika na usalama wa pesa, almost...
  13. JamiiForums Tanzania Policy Brief on the Duty of our security organs to properly Balance the principles of “Precaution,” “Preventive Justice” and “Rule of Law” in Tanzania

    Mr. Suleiman Abubakar Mombo, the Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) 1. Abstract "It is one of the undisputed functions of government to take precautions against crime before it has been committed, as well as to detect and punish it afterwards. The preventive...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeichafua taswira ya Tanzania kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu

    Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote. Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo bila shida. Jana vyombo vyote vikubwa vya kimataifa vimeripoti...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Diaspora ya Tanzania tumesikitishwa sana nchi yetu kurudi nyuma katika masuala ya demokrasia na uhuru wa kujumuika

    Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena; -utekaji -kuzuia wanasiasa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Amnesty International: Tanzania End mass arrests and arbitrary detentions of political opposition

    The Tanzanian authorities must urgently halt the mass arrests and arbitrary detention of government critics, Amnesty International said today, as intimidation of members of the political opposition intensifies in the run-up to local government elections in December and the general election in...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitaweza kukuwa kimaendeleo kwa siasa za kifamilia na kujuana hivi

    Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo. Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi ndiyo wataleta amani nchini na sio mifumo tutabaki na matabaka na tunaenda kwenye mapigano ya jamii...
  18. JamiiForums Tanzania Pongezi zangu nyingi sana kwa Watanzania ambao wanawafundisha Lugha ya Kiswahili hawa Wachezaji wa Kigeni hapa Tanzania

    Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae akikizungumza vizuri tu. Hawa ni wachache sana ila najua wapo Wachezaji wengi wa Kigeni ambao kwa sasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro, Mtwara na Lindi zaongoza idadi kubwa ya wazee

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha mikoa ya Kilimanjaro, Mtwara na Lindi inaongoza kwa idadi kubwa ya wazee wenye umri zaidi ya miaka 65. Ripoti hiyo ilizinduliwa Zanzibar na Waziri Mkuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na Makamu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania Miaka 40 ya hamna kitu kwene michezo?

    Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana. “washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.” Ni huzunini kwa kweli. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/sports/tanzania-at-the-olympics-50-years-of-missed-opportunities-4722068...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…