tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

    Source: VOA Radio. Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali. Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23. Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

    Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania. Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya SGR (Kigoma - Burundi) kwa Tsh. Trilioni 5.6

    Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) na nchi ya Burundi leo Januari 29, 2025 zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR yenye urefu wa kilomita 282 kutoka Uvinza mkoani Kigoma hadi Musongati nchini Burundi. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa kwa upande wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Rwanda iko interested na mipaka inabidi ijue kuwa Rwanda na Burundi sehemu ya Tanzania

    Angalia hii ramani
  5. JamiiForums Tanzania Hakika Mwalimu alikuwa Special, hata hapa anakiri makosa aliyofanya kupelekea Tanzania kutoinuka kiuchumi kutokana na sera za Kijamaa

    Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo. Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa aliteleza. Katika interview hii, anakiri kutaifisha viwanda ilikuwa ni kosa kubwa mno akiongeza na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Exim bank yaendelea kujiimarisha kwa ununuzi wa canara bank Tanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kutangaza ununuzi wa Benki ya Canara Tanzania ambayo rasmi inakuwa sehemu ya benki ya Exim Tanzania. Ununuzi huu ni wa tatu kufanywa na benki ya Exim ndani ya miaka sita iliyopita ikiwa sehemu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia zasaini mikataba ushirikiano wa ulinzi na usalama na kubadilishana wafungwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana Wafungwa. Mikataba hiyo imesainiwa leo Januari 29, 2025, Jijini Dar es Salaam, upande wa Tanzania na...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

    Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa. Juzi...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Madereva 47 kutoka Tanzania wameokolewa na M23, wakimbilia Rwanda Kusubiri Msaada wa ziada

    Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda, ambapo sasa wanangojea msaada kutoka kwa serikali yao ili warudi nyumbani. Soma: Madereva wa...
  10. JamiiForums Tanzania BearCat G3: Vyuma vipya vya kibabe wanavyotumia Polisi Tanzania!

    Lenco BearCat wanatengeneza armored vehicles kwaajili ya majeshi mbalimbali Duniani, ikiwemo SWAT. Kwa sasa Jeshi la Polisi wameleta vyuma ivyo kwaajili ya kurahisisha kazi zao. Model ilioletwa ni G3 ambayo imeonekana ikisimamia swala la ulinzi siku hizi mbili. Hii chuma ina engine ya V8...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika. “Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati” “Kupitia mpango wetu...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC

    Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu manabii wa uongo Tanzania

    Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko. Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga...
  15. JamiiForums Tanzania China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

    Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

    Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
  17. JamiiForums Tanzania Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

    Kwasasa nchini Morocco kuna hafla ya upangaji wa makundi kwaajili ya michuano ya AFCON 2025. Ungana nami kujua Tanzania tutapangwa na nani? Tukio lipo mubashara Azamtv na DStv =================================
  18. JamiiForums Tanzania Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading. Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu, Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa...
  20. JamiiForums Tanzania Unafiki wa wanasheria wa Tanzania

    Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada ya kumaliza mhula wa kwanza hashindanishwi na wenzake ndani ya chama chake. Ilikuwa hivyo toka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…