tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ni jambo la muungano ?

    Diplomasia ni jambo la muungano ? Rais - Zanzbar Waziri mambo ya nje - Mahmoud (Zanzibar) MShauri wa rais maswala ya diplomasia - Maulidah (ZAnzibar)
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania tupo kwenye Mtego. Ni Lazima tuhakikishe amani inapatikana kati ya Congo na Rwanda kwa ustawi wa uchumi wetu

    Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu. Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa letu. Kila la heri...
  3. JamiiForums Tanzania Weka Picha za Magari ya Leyland Tanzania

    Leyland ilikuwa ni brand kubwa sana ya magari mazito ya kiingereza kuliko Scania, Benz, na Fiat enzi hizo. Yale magari ya Leyland CD (Clydesdale) na Leyland (Albion) yalikuwa hayashindwi mlima au matope kwenye sehemu yoyote Tanzania wakati barabara zetu zikiwa mbovu sana. Hayakuwa na spidi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Antibiotic resistance is here …Millions of people are dying - Tanzania tumejiandaaje?

    Antibiotic resistance is here …Millions of people are dying Story by Global Press Journal • 19h • 9 min read For years, Radha Lama bought antibiotics in bulk at a clinic near her home in Kathmandu, Nepal. She took the pills whenever she had a stomachache or headache, without talking to a...
  5. JamiiForums Tanzania Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

    Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini? Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

    Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona... Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence.... Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa Salama, Endapo DRC itaangukia mikononi mwa RWANDA, M23 wapigwe na JWTZ Kwa makubaliano ya Taifa Kunufaika na Kukaa mashariki ya DRC

    Hamna wakati mwingine ambao Tanzania inahitaji DRC iliyotulia kama ilivyo Sasa !! RWANDA ni ka Nchi kadogo sana, Ambako kana maeneo machache ya kimkakati linapokuja suala la uchumi , wako limited katika Resources . Ndio Sababu Kagame Palipo na Migogoro anajitahidi kujiingiza na kusaini...
  8. JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania, na Uganda zitwaeni Burundi, DRC, na Rwanda ili kuleta amani na maendeleo

    Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka. Tukizitwaa, DRC itasaidia kutoa ardhi kwa viinchi visivyo na ardhi ya kutosha kama Burundi, Rwanda, na...
  9. JamiiForums Tanzania Mungu Tunakuomba Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025 Tanzania Uwe ni Uchaguzi Huru na wa Haki

    Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  11. JamiiForums Tanzania Maslahi ya Tanzania DR Congo ni yapi?

    Maslahi ya Tanzania hapo Congo ni yapi? Rwanda inafahamika maslahi yake hapo Congo sisi wengine tunapeleka Congo vijana wetu kwenda kufia wacongo kwa maslahi yapi kama taifa? Hii ni dunia ya kibepari isiyotaka maamuzi ya kijamaa hivyo ni vyema tukajua tunaenda kupambania nini Congo? Bila...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: President Tshisekedi kuya Tanzania tuyajenge.

    Mr presidaa bounjour, Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa. Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Athari za muda mfupi na mrefu za uchizi wa kiroho, Tanzania

    Kidunia, kutokana na maendeleo, sayansi na teknolojia, ongezeko la ukwasi wa vitu yamewafanya watu kuwa na maswali mengi kuliko majibu kumekuwa na mahitaji makubwa sana ya kuelewa zaidi ya kile kilichozoeleka kueleweka. Kumekuwa na mashaka makubwa sana juu ya aina ya uelewa uliopo juu ya kila...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ivunje na ijengwe upya ili pawe 'Guangzhou' ya Tanzania na Afrika. Kitovu Cha biashara, uchumi na uwekezaji.

    Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo. Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
  17. JamiiForums Tanzania Nguvu kazi ya Tanzania ni Milioni 25

    Watu wengi hawafuatilii takwimu na hawa ndio wanapiga kelele kuwa Tanzania sii nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo. Je unajua kati ya watanzania Milion 65, ni watanzania milion 25.7 pekee ndio wenye uwezo wa kufanya kazi ya kujiingizia kipato? Nikiwa na maana hao wengine wanaobaki...
  18. JamiiForums Tanzania Pata uelewa kuhusu hifadhi za Taifa za Tanzania

    Hifadhi za taifa za Tanzania ni hazina ya asili na utamaduni ambazo zinatoa fursa nyingi za utalii. Kila hifadhi ina uzuri wake wa kipekee, ikiwa na mazingira tofauti, wanyama wa porini, na tamaduni tofauti za wenyeji. Tembelea Tanzania na uone vivutio vyake vya ajabu! Katika hifadhi kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Kagame alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua na kuanzisha mauaji ya kimbari na kutwaa madaraka, anaiweza Tanzania iliyomchakaza Amin?

    https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza kutobolewa kwa sindano, unashangaa anapata wapi jeuri au ni usahaulifu wa binadamu. Madaraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…