tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

    Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa......... Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani. Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mabaki ya Roketi ya anga za juu yaweza kuanguka Kenya na Tanzania ndani ya saa 24 zijazo, Mamlaka zatahadharisha

    Nchi za kenya na Tanzania, zimetahadharishwa na wataalamu wa masuala ya anga za juu kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa mabaki ya kifaa cha anga za juu (roketi). Shirika la Anga la Kenya (KSA) limethibitisha hilo na kutoa tahadhari kwa wananchi wa nchi hiyo kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa kifaa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Wananchi: Nguzo ya Uonevu wa Kisiasa Tanzania

    Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
  4. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya harusi za Nigeria na Tanzania

    Kupitia harusi ya Jux kule Nigeria nimepata somo kubwa sana. A: 1. Nigeria 🇳🇬 wanaheshimu sana mila 2. Nigeria 🇳🇬 ni wachangamfu sana 3. Nigeria 🇳🇬 wana vibe kubwa 4. Nigeria 🇳🇬 kwenye Sherehe watu wote wamechangamka , wana furaha na tabasamu. B: 1. Tanzania 🇹🇿 mila ni kwa kiasi kidogo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania ni nchi ya kidemokrasia? Sijui kama tunajielewa

    Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja Tanzania hatueleweke mara demokrasia...
  7. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Thabit kombo: Ireland waichagua tanzania kuwa makao makuu yake ya kibiashara barani Afrika

    14 Mach 2025 Dar es Salaam, Tanzania IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0 Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
  9. JamiiForums Tanzania Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

    Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm.. Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia. Bongo Sina future napo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nini kinatusumbua au Rushwa umekomaza katika misuli ya nchi?

    Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata...
  12. JamiiForums Tanzania IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake. Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa tanzania kuna mtu bado anajiona ni raisi japo sio raisi

    Ex president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii. Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata. Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania TUSEME UKWELI >Kauli ya Tundu>> Kama Mtanzania au wewe ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu. Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Jux imenifumbua macho, Noti za Nigeria zina thamani Kibunda chetu cha shilingi milioni 5 kule kwao ni shilingi laki 8

    NB: Maada hii ipo kwa kutoa elimu ya kifedha, ndoa imetumika kama tukio maarufu la kutoa elimu, Jux na mke wake wawe na ndoa njema, Kibunda chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki 5 (₦ 500,000)...
  16. JamiiForums Tanzania Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

    Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos** https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz 1. Hivi Marketing Department...
  17. A

    JamiiForums Tanzania US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  18. JamiiForums Tanzania Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  19. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki. Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…