tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa utulivu na amani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza amani ya nchi. Amesema jana akiwa na wasaidizi wake waliona taarifa mtandaoni ikionyesha kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Huu Mradi wa kuweka Kalavati mpya sehemu nyingi za Barabara Tanzania ni wa nani?

    Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji, Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  4. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden: Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025 Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden. Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 Sundbyberg. Tarehe: Julai 5, 2025. Muda: 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni. Burudani: Saa 1:00 Jioni -...
  5. JamiiForums Tanzania Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

    Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA. Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
  6. JamiiForums Tanzania Je pandora paper hazikutaja matajiri wa tanzania

    Kwa ambae hajui Pandora paper ilikua n siri zilizovuja juu ya utajiri mkubwa wa watu walioupata ambao wanaajalibu kuuficha . Kenya ilihusisha familia ya Kenyata. Je hamna tanzania tajiri ambaye alitajwa na ubadhifu wote huu
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 "Tutalinda Kura 2025" — Lakini Kwa Mfumo Huu? Hebu Tuache Kujidanganya

    Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa viongozi wa dini nchini Tanzania. Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa

    BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa Waheshimiwa viongozi wa dini, Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa watu. Nawasimamia...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

    Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
  12. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania izingatie kufundisha lugha ngeni nyingi

    Tanzania sio kisiwa na pamoja na sio kisiwa bado ni nchi masikini duniani na ivyo Kiswahili chetu bado hakitatupaisha sana duniani sio kama Kichina, Kijapani au lugha zingine duniani kwenye nchi tajiri. Cha Kwanza; Kiswahili ifundishwe kote kutoka primary hadi chuo kikuu kama lugha kuu ila...
  13. JamiiForums Tanzania Ugawaji wa tuzo za wasanii wa Rwanda Tanzania tunalakujifunza sisi ujinga mwingi

    Kuanzia mdhari ya ukumbi, stage, mavazi yaka kiulaya sana burudani zote live band MC hawana ule ujinga wakina mpoki na matusi Tanzania kuna la kujifunza hapa sio kina majizo wanakuja na ndala za kuogea kuchukua tuzo za singeli USSR
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza kuwa na amani Africa Mashariki

    Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani. Ingawa Tanzania imeporomoka kwa nafasi 8 ikilinganishwa na mwaka uliopita, bado inaongoza kanda hii, huku majirani wengine...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania benki zanawiri

    Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara. Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yaungana na Marekani kusherehekea miaka 249 ya uhuru wa Marekani

    Tanzania imeungana na Marekani kuadhimisha miaka 249 ya Uhuru wa Marekani katika hafla iliyofanyika katika Makazi ya Balozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, sambamba na kutimiza miaka 64 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo. Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na...
  17. JamiiForums Tanzania SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia

    SADC YAITAJA TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika 📌 Mhe. Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya SADC 📌 Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 No reforms no election! Tumekaribia Ushindi, No reforms no election ikishinda, Tanzania inakuwa huru!

    Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa...
  19. JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  20. JamiiForums Tanzania Head of Enterprise at SimbaNet Ltd Tanzania July 2025

    Job type Full-time Job Vacancy: Head of Enterprise SimbaNET Tanzania (SimbaNET) is part of Wananchi Group which is a Regional Company that provides Internet, Data, Broadcasting and Multimedia Communication Solutions. We are seeking to recruit a Head of Enterprise, He/she will be reporting to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…