tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tuangazie juu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa Tanzania lakini haikuleta matokeo chanya

    Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_ 1,Big Results Now BRN)_2013 2, MKURABITA 2004...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu. Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
  3. JamiiForums Tanzania Matamanio yangu Tanzania Mpya (Traore case study)

    Kila zama na kitabu chake..by Ali Hassan Mwinyi Tuangazie namna Tanzania yetu tungetaka iwe leo zama hizi. Ndoto zangu na zako mdau tuziunganishe. Hata Traore alianza na ndoto. Mabadiriko hayajawai kuletwa na lundo la watu kwa mkupuo bali watu wachache sana wenye nia njema. 1. Iwe nchi moja...
  4. JamiiForums Tanzania Wagombea 20 wajitosa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania

    WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa wagombea wa katika uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), likifungwa rasmi Julai 18 saa 10:00 jioni, jumla ya wagombea 20 wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Julai 21, Mwenyekiti...
  5. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Beach plot for sale, located at Makunduchi Zanzibar

    Beachfront Plot for Sale Zanzibar. 📍Makunduchi (65 kms from Airport 60 kms from Town) 📏 2.94 acres (11,913 sqms) 📄 Titledeed available 💰 750,000 USD 🫱🏿‍🫲🏾 Negotiable 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi kama Pagala lililotelekezwa

    Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao. Wengine wanachomoa vifaa vilivyopo kwenye hilo pagala kila kinachowezekana na wameanza hadi kuondoa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  8. C

    JamiiForums Tanzania PPP kuifikisha Tanzania uchumi wa kati wa juu 2050

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kwa Gaming Board of Tanzania Kushindwa Kisimamia Sheria!

    Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa sheria na kanuni zinazoongoza sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Kwa mujibu wa Kifungu cha...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi yetu na taifa letu Tanzania

    Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu. Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Air Tanzania to Fly from Dar to Lagos on 15 August, 2025

    We’re so excited to share this moment with you! ❤️✈️ Air Tanzania will start to fly direct from Dar es Salaam 🇹🇿 to Lagos 🇳🇬from 15th August, 2025. To us, this is more than just a flight route. It’s a beautiful bridge between two cultures, two nations… and two hearts. Since our wedding...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiketwe ni jabali la siasa za Tanzania

    Tumemuona alivyozima uasi wakati wa Lowasa, hakutumia bunduki wala bastola, katumia formula ya siasa ya science. Tunamemuona hivi sasa alitumia formula ya siasa ya Sayansi hadi kumfanya pole pole atoke alipotoka huku mama Samia akipita ccm bila ya kupingwa Hakutumia bastola wala bunduki, ni ile...
  13. JamiiForums Tanzania Ntaifanya Tanzania kuwa na better ecosystem ya mpira wa miguu Africa

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto za kuja kucheza ligi ya mpira ya Tanzania, wote tunafahamu culture ya mpira wa miguu Tanzania ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

    Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania Operesheni Okoa Taifa Tanzania (Tanganyika)

    Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao. Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na...
  17. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya hawa ni mwanasiasa mkongwe hapa Tanzania. Umemtambua?

    Wakuu, Kwani hii nayo inahitaji D mbili? Kwa sasa huyu ndo anatetemesha nchi. Chawa wakisikia jina lake wanakimbilia uvunguni.
  18. JamiiForums Tanzania Tupate Rais atakae endeleza ile sera ya Magu ya Tanzania ya viwanda angalu ilikuwa na mwangaza

    Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
  19. JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania; Mchezo wa Viti, Nguvu na Hila Kama Tamthilia ya Game of Thrones

    Katika siasa za Tanzania, tumeona mwendelezo wa mapambano ya mamlaka yanayofanana na tamthiliya maarufu ya Game of Thrones. Ingawa hatuna mapanga na mizinga ya kale, tuna hila, mikakati ya kisiasa, mapambano ya madaraka, na mapatano ya siri yasiyoeleweka kwa wananchi wa kawaida. Kama ilivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…