tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara: Tanzania ipo tayari Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde

    Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi wakati wa matumizi ya akili unde. Akizungumza kwa niaba ya serikali ya tanzania katika jukwaa la...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Heshima ya Majaji Tanzania imeshuka kwasababu ya kuteuliwa kisiasa

    Heshima ya Majaji Tanzania imeshuka kwasababu ya kuteuliwa kisiasa majaji wa zamani walikuwa kati wa watu wanao heshimiwa Tanzania Jaji Nyalali Jaji Munuo Jaji Chipeta Jaji Chuwa Jaji Mrosso Jaji Chande Jaji Ramadhani Jaji Warioba Muhula wa mwisho wa Kikwete mpaka sasa wamekuja majaji...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume Tanzania tuna aibishwa na tumebaki kunyamaza tu

  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 State Capture: Kuna tofauti ndogo sana kati ya hawa wawili. Imeichukua Nigeria miongo karibu 2 kupona, sijui Tanzania itakuwaje?

    HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA Wote ni Wanajeshi waliokulia Jeshini na kuingia kwenye uongozi wa kisiasa. Wote walitengeneza mitandao ya Kimafia iliyoamua nani awe nani kwenye Mataifa yao kwa miaka mingi. Wote wana sifa moja. Ongea ya bashasha, kucheka na wewe usoni ukiwa hujui wanakuwazia nini...
  8. JamiiForums Tanzania Ntaifanya Tanzania kuwa kitovu cha mashirika ya kimataifa

    Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza ku-emulate ile beauty ambayo ipo nchi zilizoendelea

    Xxx
  12. E

    JamiiForums Tanzania UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia anaifanya Tanzania kuwa Venezuela

    Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
  14. JamiiForums Tanzania Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ina uhitaji wa zaidi ya nyumba milioni 26 ifikapo 2050

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi mahitaji wa watu milioni 118.1. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua semina...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ngumu ukiwa Mzalendo. Mbatia, Lissu na wengine Mungu atamuongoza kwa uzalendo

    Mbatia ni mfano wa uzalendo. Ukikaa kuhogwa watachukuwa kila kitu ulichonacho!!!. Tanzania ni pagumu kwa watu wazalendo kama Mbatia na Lissu. Lakini machawa kwa upande mwingine na wala rushwa au kwa wale waliokuwali kuhogwa kama Chaumma ndiyo wanapewa pesa. Tushukuru tuna wazalendo wachache...
  17. JamiiForums Tanzania Babu Marcio Maximo arejea tena Tanzania

    Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
  18. JamiiForums Tanzania Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

    Ndege ya Thrush Rockwell S2R (sasa Thrush S2R) inatengenezwa na Thrush Aircraft huko Albany, Georgia, USA. Bei ya kiwandani kwa modeli mpya kama Thrush 510P2+ (2025) inahitaji kuwasiliana na kampuni, lakini makadirio ni $800,000-$1,200,000 USD kutegemea vipengele. Modeli za zamani zinauzwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu Tanzania wamesoma sana lakini wana low IQ

    Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno. Wao ndo chanzo cha kila baya, very selfish, backstabbing professionals, wezi, wanajiona wao ndo Kila KITU. Hili kundi siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…