tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Je wajumbe/wabunge wa mwanzo wa Tanganyika walikuwa wasomi?

    Inamaana wajumbe /wabunge walioteuliwa au kuchaguliwa huko nyuma kabla ya bunge la sasa la wabunge wasomi wajinga,je hawa wote walikuwa wasomi? "THE STORY OF THE TANZANIA PARLIAMENT : FROM THE COLONIAL ‘LEGISLATIVE COUNCIL’ TO THE POST-INDEPENDENDE ‘PARLIAMENT’. This is a continuation of...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

    Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa. TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Taifa hili la Tanganyika utakuwa mgumu sana!

    1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs 2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families 3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wachaga waendelea kukimbiza Wakinga, waongoza Tanganyika utajiri

    Katika Ardhi ya Tanzania na Zanzibar mambo yanaendelea kama yalivyokuwa, Jamii ya watu wa kihindi na kiarabu wameendelea kukaa juu n kuongoza listi ya matajiri Tanzania. Lakini kabila la wachaga linalokimbizana utajiri na Kabila la Wakinga, limeendelea kuwa juu, huku watu wawili wa kabila Hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Tanganyika ingekua Jangwani kama Dubai sijui kungefananaje?

    1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje? 2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea. NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea...
  6. JamiiForums Tanzania DC Tanganyika aagiza Wakulima wa Tumbaku walipwe haraka iwezekanavyo fedha zao

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima wa zao hilo. Buswelu amesema kuwa leo Jumatano Mwezi August, 2025, jua linapochwea Wakuliwa wawe...
  7. JamiiForums Tanzania Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika inachunwa na Zanzibar

    Ukiangalia nafasi za kazi serikalini, balozini, mgao wa pesa. Huu mkaba wa kijinga ni wa kuwachuna ndugu zao wa Tanganyika!
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Alipewa Uongozi wa Tanganyika Ukumbi wa Arnautoglo April 1953

    MWALIMU NYERERE ALIPEWA UONGOZI WA TANGANYIKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO APRIL 1953 Ukumbi wa Arnautoglo na Team ya Heritage Center for Liberation pamoja na TBC tunarekodi historia ya Uchaguzi wa Rais wa TAA kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953. Kiasi cha miaka miwili iliyopita. Picha ya...
  11. JamiiForums Tanzania Orodha ya Mashujaa waliovuliwa hadhi ya ubalozi wakitetea maslahi ya Tanganyika

    1. Dk Wilbroad Slaa 2. Humphrey Polepole 3. Marehemu Kasanga Tumbo 4. Marehemu Kasela Bantu. 5..... Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
  12. JamiiForums Tanzania Masheikh Wanasiasa Wazalendo Walipigania Uhuru wa Tanganyika

    MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kikweta siyo mtu mzuri kwa inchi yetu ya Tanganyika

    Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana Nipende kusema huyu ndiye...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya Ali Mwinyi Tambwe, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Julius Nyerere Safari ya UNO 1955

    JULIUS NYERERE NA ALI MWINYI TAMBWE, AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) SAFARI YA KWANZA UNO 1955 Usiku uliopita kijana mmoja jina lake Victor Madaha Mtangazaji wa Bongo Plus TV kanipigia simu kaniomba afike Maktaba siku ya pili tufanya kipindi kuhusu vijana na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa wadau: Royal families za United Republic of Tanganyika and Zanzibar

  16. JamiiForums Tanzania Battle. Zanzibar vs Tanganyika

    Leo naomba nije na hili battle katika ya Zanzibar na Tanganyika ama kama mnavoojita Tanzania ya sasa. Hapa tunajadili maendele, hali ya siasa, kiuchumi kiutamaduni, maadili, michezo, viongozi bora kuwahi kutokea na waliopo sasa, wasomi na chochote unachoona kinafaa kulinganishwa.
  17. JamiiForums Tanzania Operesheni Okoa Taifa Tanzania (Tanganyika)

    Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao. Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake hawa walioshiriki kupigania Uhuru wa Tanganyika?

    Wakuu, Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana. Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955 Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni...
  20. JamiiForums Tanzania Matoleo ya baiskeli Tanganyika

    Zamani ilikuwa ni usafiri mpaka kwa viongozi kulingana na kaliba.. Na baiskeli ilikuwa usafiri wa kutumainiwa Sana Matoleo maarufu ya enzi hizo yalikuwa Rareigh Phoenix.. Hizi walikuja kujenga kiwanda pale Mwenge.. Sass hivi kiwanda cha madawa Haya matoleo zilikuwa baiskeli hasa kwa safari kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…