TLS-Chama cha Mawakili wa Tanganyika , -Zanzibar wana Chakwao, kimekuwa kikipoteza mvuto na haiba mbele ya jamii kila uchao.
Sababu zinazosemekana kupoteza mvuto kwa jamii:
baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Sungusia ni kama walikuwa...