tanga mjini

Tanga City Council (Halimashauri ya Jiji la Tanga, in Swahili) is one of eleven administrative districts of Tanga Region in Tanzania. The District covers an area of 596.5 km2 (230.3 sq mi) of which includes the historic city of Tanga and the Port of Tanga. Tanga district is bordered to the north by Mkinga District, to the east by the Indian Ocean, to the south and west by Muheza District. The district is comparable in size to the land area of Guam. The administrative seat is the ward Central . The district is the administrative and economic center of Tanga Region. In Swahili, the word Tanga means "sail". The City was also the theater for the battle of Tanga. According to the 2022 census, the district has a total population of 393,429.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    Tanga Mjini Lodge/Guest house zimejaa hadi j4

    Mwezi umeisha na mengi. Usije Tanga kama huna pa kulala. Malaya bei juu pia. Kondomu nazo adimu. Mwendo wa acapella. Abood za kutosha (mtu unaweza kuwahi alfajiri ukachuja saa 6 usiku unageuza na abood 2 Dar
  2. DuaZaMama

    Ummy Mwalimu: Taarifa za kuzuiliwa kwangu kwenda Nje ni uzushi na zipuuzwe nipo “OK”

    Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli kuhusu hii. Ni uzushi. Ipuuzwe. Nipo OK. Alhamdulillah".
  3. Just Pray

    GE2025 Mgombea ubunge Tanga mjini awaahidi wananchi kuwaunganisha na wachina endapo wakimchagua

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe...
  4. Anonymous

    KERO Majestic Bar ni kero kubwa kwa kelele usiku kucha, inatutesa Wakazi wa Tanga Mjini, Mtaa wa Makoko

    Habari Madam President, sisi ni Wakazi wa Tanga Mjini, Barabara ya 05 Ngamiani, Mtaa wa Makoko tatizo letu kubwa ni hiyo Majestic Bar ilikuwa ni mali ya CCM lakini imekodishwa na Joseph inasikitisha na ni kero kubwa ina fujo sana hadi Usiku wa manane. Naomba msaada kwenu tuna recordings zote za...
  5. Emilio Mzena

    Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  6. popah21

    KERO Vumbi la koyla changamoto kubwa Kiomoni

    Wananchi na wakazi wa kata ya Kiomon hususani wanaoishi katika mtaa wa Kiomon tumekua tukipata kadhaa kubwa ya vumbi la Koyla kutoka katika viwanda vinavyozalisha chokaa, hususani kiwanda cha NEELKANTH, kila inapofika majira ya saa 4 usiku kila siku vumbi lisilo la kawaida limekua likifika Kwa...
  7. R

    Nimeambiwa nichague kituo cha kazi cha kudumu Tanga mjini au Singida mjini, Je nihamie wapi ?

    Wakuu habari zenu Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia...
  8. Ojuolegbha

    Uwekezaji wa Rais Samia Katika Afya Waondoa Changamoto za Huduma za Kibingwa Handeni

    Hapo zamani wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni na vijiji vyake walilazimika kwenda Tanga mjini hospitali ya Bombo au kwenda Muhimbili Daresalaam kwaajili ya huduma za kibingwa, lakini kwa uwekezaji uliofanywa na Rais Samia kwenye afya, shida hizo zimetatuliwa. Hawa ni baadhi ya wakazi...
  9. M

    Wenyeji/Wakazi wa TANGA MJINI nipeni uelekeo wapi naweza nikapata kazi...

    Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
  10. Just Pray

    LGE2024 Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu, ahimiza wananchi kujiandikisha.

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
  11. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  12. K

    Tanesco Tanga mjini mnakata umeme wakati wa mpira tu kwanini? Makorora, Msambweni, Mikanjuni, Duga

    Leo mechi ya Yanga mmeamua kutukatia umeme tena muda uleule wa mpira kuanza, mmehongwa na wenye kumbi za kuonyesha mipira na starehe mighahawa mikubwa? ili watu waende huko. Uzi wa tatu huu kuandika kuhusu tuhuma zenu. Waathirika Makorora, Msambweni, Mikanjuni, Duga, Magomeni.
  13. K

    TANESCO Tanga mjini kwa nini mnakata umeme majira ya mpira michuano EURO 2024?

    TANESCO Tanga mjini mmeanza hujuma kukata umeme kipindi cha michuano ya mpira EURO 2024 ili watu waende kwenye kumbi za mipira wasiangalizie majumbani kwao, waathirika wakubwa ni Makorora, Msambweni, Mikanjuni na maeneo mengine. Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO Tanga siyo waaminifu huenda...
Back
Top Bottom