tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. A

    DOKEZO TANESCO Tarime siyo waadilifu, bila kutoa rushwa huunganishiwi umeme kwa wakati

    TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme! Ukienda ofisini kuuliza wanakwambia nguzo hazipo ama vifaa vyako havijafika huku wengine wanalipia na...
  2. D

    TANESCO lini watakuwa na akili? Unalipa kuunganishiwa tangia jana mpk sahz hakuna ht uthibitisho wa malipo

    Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa malipo yako yanashughulikiwa na utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo yako. Siku ya 2 hakuna...
  3. M

    Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  4. Bi. Irene Gowelle: Tarehe 26 Agosti, 2024, TANESCO inaanza Maboresho ya LUKU katika Kanda ya Kati na Kaskazini

    Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bi. Irene Gowelle akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mha Gissima Nyamo-Hanga kutoa taarifa ya zoezi la Maboresho ya mfumo wa LUKU kwa wateja wa Kanda ya Kati...
  5. TANESCO: Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme

    RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA πŸ“Œ *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme πŸ“Œ Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme πŸ“Œ Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya...
  6. Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA πŸ“Œ Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) πŸ“Œ Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali πŸ“Œ Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa πŸ“Œ TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  7. Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  8. Msaada: Umeme unatumika sana wakati nina matumizi ya kawaida, tatizo itakuwa nini?

    Habari ndugu wana jamii forums, naombeni ushauri kwa wataalam wa mambo ya umeme. Nyumba yangu ni ya vyumba vitatu, natumia umeme kwenye taa, feni, tv, fridge na heater mara moja moja. Umeme naweka wa elfu 50000 ila haumalizi mwezi! Pia soma: Vitu vyangu vya umeme vimeungua na umeme wa TANESCO...
  9. A

    Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  10. D

    TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

    TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme. Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
  11. Asante TANESCO Vipindi vinaonyeshwa kwenye TV vinasaidia sana

    Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi. Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa naye ashanuua kazini kapewa na namba namba za maboresho. Jamaa wanasema kama ulishanunua huko nyuma ya...
  12. D

    KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  13. KERO TANESCO badilisheni mita za umeme 'kausha damu' mnatuumiza sana

    Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi? Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke. Ongezeko la wateja litawaongezea mapato. Na Kodi ya majengo nayo Bado kizungumkuti, sisi wenye majengo...
  14. TANESCO NAO WAANZA KUTEKA WATU

    Familia imetoa habari kamili kuhusu utekaji niliyogusia jana Kijana Prosper Theonas Mjaly ametekwa Ijumaa tarehe 2 Agosti na kuna watu walifika na Land Cruiser Hardtop ya milango mitatu Walidai wametoka Tanesco na kwamba mita inaonyesha kuna deni kubwa na kwamba aende polisi kumaliza hili suala...
  15. Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana

    Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana. Hili ni shirika la Umma lakini linatoa mianya ya Upendeleo wakayi wa recruitment. Jambo hili husabisha vijana wenye sifa kukosa kazi huku vijana wasio na sifa kupata kazi, jambo linalipelekea Huduma mbovu na performance ndogo ya...
  16. K

    KERO Sinza A Umeme tunakatiwa kila siku

    Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
  17. TANESCO kukata umeme baadhi ya maeneo Mkoani Dar tarehe 28 Julai 2024

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUZIMWA KWA BUS BAR YA MSONGO WA KILOVOLTI 220 KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UBUNGO 27 JULAI, 2024 Shirika la Umeme Tanzania, linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kutakua na katizo la umeme katika maeneo yao. Sababu: Kuwezesha...
  18. B

    TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
  19. KERO Kwa nini mafundi wa TANESCO mmeacha nyaya chini kama zinavyoonekana kwenye picha?

    Nimerudi kazini umeme hamna, Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha. Wakasepa zao , nimepiga simu na kuwatumia TANESCO whatsap wakanipa kumbukumbu namba kisha baada ya dakika mbili...
  20. Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope kukabidhi miundombinu ya umeme kwa TANESCO

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…