taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DC Godwin Gondwe awapigia magoti Wananchi Munkhola akisisitiza waondoke hifadhi ya Msitu

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe, amewapigia magoti Wananchi wa Vijiji vya Msikiii na Munkhola katika Wilaya hiyo ikiwa ni msisitizo wa kuwaomba waondoke katika eneo walilovamia la hifadhi ya Msitu wa Munkhola ambalo limeanza kupata mmomonyoko wa ardhi unaoweza kusababisha madhara kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa: Changamoto ambayo nimewahi kukumbana nayo katika hifadhi ya taifa Serengeti

    Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  4. JamiiForums Tanzania Kitambulisho Cha taifa kikipotea

    Habari wakuu Naomba kuuliza kama kitambulisho Cha taifa kimepotea,Kuna utaratibu Gani wa kukipata upya?? Sina mengi ya kusema, nawasilisha mada. Wenu mtiifu katika jamiiforum Cassnzoba
  5. JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video ya Hayati Reginald Mengi ni tajiri aliyekuwa na Uzalendo na Uchungu na Taifa hili tofauti na wengine wanaotumika kuhujumu Nchi

    Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida. Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  7. JamiiForums Tanzania Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

    Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla.. Je, ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa? au itakua ni aibu...
  8. JamiiForums Tanzania Live: mdahalo wa wagombea wa Bavicha taifa na Chief Odemba

    === Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
  9. JamiiForums Tanzania Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi...
  10. JamiiForums Tanzania Je, michuano ya Mapinduzi kushirikisha timu za Taifa yameleta tija?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani kushirikisha timu za ligi kuu za bara na visiwani ambapo tumeshuhudia wachezaji kadhaa wamekula mashavu kuja...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Makocha wa timu za taifa letu

    Hemed Morocco Juma Mgunda Jamuhuri Kihweru Amri Kiemba Bakari Shime Ahmed Ally Je umegundua nini hapo kuhusu soka la bongo?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

    Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  14. JamiiForums Tanzania Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

    Wanabodi Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!. Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuiba kura na kuhonga wapinzani inasaidia vipi Usalama wa Taifa?

    Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa? Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo? Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
  16. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

    Heshima sana wanajamvi. Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3% Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa. Ngongo kwasasa Mikocheni.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wowote wa Sadaka za Mbowe kwa Mh.Lissu na Lissu kuitaka nafasi ya Uenyekiti Taifa, vinginevyo Mbowe awe mkweli tu!

    Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu? Kumpa nyumba ya kukaa pale Dodoma inaleta uhusiano wowote kwenye kugombea nafasi aliyonayo mbowe...
  19. JamiiForums Tanzania Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…