Habari Tanzania !...
Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii.
1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?.
Ombi langu;
Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...