tabora united

Tabora is the capital of Tanzania's Tabora Region and is classified as a municipality by the Tanzanian government. It is also the administrative seat of Tabora Urban District. According to the 2012 census, the district had a population of 226,999.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Full Time: Simba 3 -0 Tabora United. Machi 22, 2026

    Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo ===== Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na Yanga (inaongoza ligi, pointi 38...
  2. Damaso

    Kulikuwa hakuna ulazima wowote wa TRA kununua Tabora United?

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeibua mjadala mkali baada ya kutangaza rasmi umiliki wa timu ya soka ya Tabora United na kuibadilisha jina kuwa TRA United Sports Club. Kwa maneno yao wamedai kuwa hatua hii, inalenga kuhamasisha ulipaji wa kodi wa hiari na kuimarisha uwajibikaji wa kijamii...
  3. Waufukweni

    Rasmi sasa Tabora United imekuwa TRA United SC

    Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB. Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka mwezi Januari 2026 ambapo itahamia Dar es Salaam. Mameneja na wamutimishi wa TRA mikoa ambayo timu...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Tabora United yakanusha tuhuma za kupigwa mnada

    Uongozi wa timu ya Tabora United umekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ukidai timu hiyo iko mbioni kupigwa mnada hali iliyozua taharuki kwa wadau wa soka wa Mkoa wa Tabora wakidai hawakubaliani na jambo hilo kwani timu hiyo imekuwa na manufaa makubwa ya kuwaburudisha, kutangaza...
  5. Think2

    Tetesi: TRA yainunua Klabu ya Tabora United

    Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki...
  6. DuaZaMama

    Kiungo Yacuoba Sogne awashtaki Tabora United, hajalipwa mshahara miezi minne

    Kiungo mshambuliaji Yacuoba Sogne amefungua kesi TFF kuwashitaki Tabora United baada ya kuwa anadai mshahara miezi minne na pesa zilizobaki za usajili. Yacuoba Sogne Yupo Dar Es salaam.
  7. Lupweko

    Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  8. GENTAMYCINE

    Hii Sauti inayosambaa Mitandaoni ya Kiongozi wa Yanga SC kumwambia Kipa wa Tabora United aachie Leo TAKUKURU hawajaisikia au nao wameshanunuliwa?

    Ni Aibu kubwa mno na ni Kashfa pia katika Soka la Tanzania. TAKUKURU (PCCB) mmenunuliwa nao au nanyi mnaaogopa?
  9. Holoholo-Baba Kijacho

    Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

    Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu. Ikumbukwe...
  10. M

    Viongozi wa Tabora United msipofanyia kazi kafara la Utopolo la kuchinja ng'ombe 40 kesho mtakoga magoli mengi uwanjani

    Nawashauri, kinachofanyika leo ni kufurahisha majini yao ili keshi yakafanye kazi uwanjani, leo watachinja ng'ombe ili wakawape damu majini yao ambayo yanafurahi sana yakipewa damu, msipokabiliana na kafara hili wallahi kesho mnakufa si chini ya goli tatu. Mnapocheza na Yanga msicheze mpira...
  11. M

    Paul Chacha: Wachezaji wa Tabora wanatumiwa SMS na watu wa Yanga ili walegeze mechi

    Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa...
  12. ngara23

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

    Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga

    Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, ametembelea kambi ya Tabora United na kutoa motisha kwa wachezaji wake. RC Chacha...
  14. ngara23

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans yasogezwa mbele

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza Kila la heri timu ya wananchi Yanga bingwa
  15. Ubaya Ubwela

    Baada ya mechi ya Tabora na Yanga kukaribia TFF waufungia Uwanja waAlly Hasani Mwinyi uliokua unatumiwa na Tabora United

    Hizi ni hujuma na rushwa za waziwazi wameona mechi dhidi ya Yanga imekaribia ndo wameamua kuufungia Uwanja, cha Ajabu Mzunguko wa kwanza wote Tabora wamecheza pale mechi zao zote na huu mzunguko wa pili na Leo hii umetumika Tff wanajiaibisha sana Anguko la Karia litakua la aibu sana (GSM)...
  16. M

    Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

    Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati! Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na...
  17. princess ariana

    Kagera sugar vs Tabora united | NBC Premier League | Kaitaba | 11 Februari, 2025

    Hivi ni mimi tu ndo naangalia yanayoendelea uwanjani mechi ya Kagera vs Tabora united.... 😆😆
  18. L

    Nashauri msemaji ya Tabora united asibugudhiwe, ila ataniwe TU

    Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana. Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
  19. Disney2

    Tabora United Ikiifunga Simba SC Nifungiwe JF mwaka mzima

    Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto. 1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana 2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora. Mods shikiria hapo hapo.
  20. Minjingu Jingu

    Sioni Simba akishinda leo, Tabora United wanaitaka Tsh. Million 100

    Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024. Sioni Simba akishinda leo.
Back
Top Bottom