tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii tabia ya viongozi kujifanya special kwenye matukio ya kijamii inanikwaza sana

    Kuna kitu nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu, nikahisi yawezekana ni mimi tu fikra zangu ndiyo mbovu au za kizamani, lakini baada ya kumsikia Jaji Warioba akizungumzia suala hilo, nami nimepata nguvu kuamini kuwa ninachowaza kuwa ni tatizo basi inawezekana ni tatizo kweli Zamani nakumbuka...
  2. Tabia mbaya makondakta daladala za Bunju kuja au kuelekea mjini

    Haina haja ya salamu. Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao. Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
  3. T

    SoC02 Mbinu za kupambana na madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi katika kilimo nchini Tanzania

    Kutokana na ukuaji wa shughuli za binadamu za uzalishaji kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira Hali inayopelekea kubadilika kwa tabia ya nchi. Aidha shughuli za kibinadamu Kama vile ukataji miti, viwanda, kilimo na usafirishaji vimepelekea mabadiliko hayo kwa wingi. Baadhi ya madhara...
  4. Utafiti: pombe huonyesha tabia halisi ya mtu

    Bukheri ndugu na wanamemba wa jamii forum,..!leo umefanyika utafiti usio rasmi na kugundua kwamba mtu yeyote akinywa pombe akalewa huwa anaonyesha tabia zake halisi yaani zile zilizojificha...mfano kama mtu ni muongeaji sana lakini hujificha kwenye kichaka cha upole....basi mtu huyo akilewa...
  5. Nawezaje kuacha tabia sugu niliyoanza ya kupenda kula kula

    unaweza kuona ni rahisi kuacha kwasababu wewe hauna hili tatizo lakini kwa mtu ambae ni mraibu huu ni mtihani mzito, ni sawa na kumwambia mtu aache uraibu wa simu, aache ulevi wa pombe, aache sigara, aache kamali, n.k.. sio rahisi kihivyo, Nimekuja kwa unyenyekevu humu ndani muwezi kunipa...
  6. SoC02 Vijana Tabia za Kuepuka

    Kijana kama unataka kufanikiwa maishani, epuka tabia zifuatazo: 1: KUKOSA UAMINIFU KAZINI Vijana wengi sio waaminifu kabisa, wengi wana tamaa ya mali nyingi ndani ya muda mfupi, hata kama ni kwa njia isiyo halali. Kuna vijana kila wakipewa kazi wanawaza namna ya kupiga madili tu kama vile...
  7. Tabia nne tunazopaswa kumuiga paka (Nyau)

    Paka ama nyau kama wengi tunavyo mtamba ni mnyama wa aina yake na ana sifa za kipekee sana hasa ukija kwenye suala la utafutaji au uchakalikaji kwa lugha zetu za mitaa. Mnyama huyu ambaye yupo katika makundi mawili yaani paka wa nyumbani na paka wa porini anaweza kutufunza mambo kadha wa kadha...
  8. Tabia tatu tunazopaswa kumuiga paka

    Paka ama nyau kama wengi tunavyo mtamba ni mnyama wa aina yake na ana sifa za kipekee sana hasa ukija kwenye suala la utafutaji au uchakalikaji kwa lugha zetu za mitaa. Mnyama huyu ambaye yupo katika makundi mawili yaani paka wa nyumbani na paka wa porini anaweza kutufunza mambo kadha wa kadha...
  9. Polisi na tabia ya gari ikikamatwa kubadili vifaa na kuweka vya zamani

    Hello Wadau! Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti. Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
  10. Makamba: Tanzania inahitaji TSh. Bilioni 345 kukabili Tabia Nchi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania inahitaji dola 150 milioni za Marekani (Sh345 bilioni) kwa mwaka kujenga uwezo wa kukabiliana na athari za mabadili-ko ya tabianchi. Makamba amesema fedha hizo zinatakiwa kutumika kujenga uwezo katika sekta ya kilimo, afya, miundombinu...
  11. SoC02 Matatizo hubadili tabia za watu

    Kuna watu ambao walipitia shida nyingi sana enzi za utotoni na ujanani mwao; kuanzia kula yao, kusoma kwao, kulala kwao, kuvaa kwao, nk kulikuwa ni kwa shida sana. Kiufupi tu ni kwamba walipitia maisha magumu sana. Watu hawa waliushinda umasikini kupitia elimu, biashara au shughuli nyingine na...
  12. S

    SoC02 Kwa tabia hizi, Ewe Kondakta wa daladala badilika

    Habari za wakati huu wana jamii forum. Ni siku nyingine tena ya kuelimishana ili kila mmoja wetu aweze kuwajibika kwa nafasi aliyokuwa nayo katika jamii. Leo ningependa kuongea na baadhi ya kondakta wa daladala ambao kiukweli wanapaswa kujirekebisha kwenye baadhi ya maeneo. Kila kazi ina...
  13. SoC02 Ustahimilivu kwa Wakulima dhidi ya mabadiliko ya Tabia Nchi

    USTAHIMILIVU KWA WAKULIMA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI. Utangulizi Mabadiliko ya Tabia nchi ni jumla ya mabadiliko ya hali ya hewa ya eneo fulani. Kilimo ni jumla ya shughuli zinazohusisha uzalishaji wa mazao mbalimbali kwa ajili ya chakula ama biashara. Shughuli za kilimo zimekua na...
  14. Saikolojia ya kujifunza kuhusu tabia za binadamu

    1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu. 2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
  15. Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

    Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
  16. Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  17. Tabia ya ushikwambi inawafanya watu kutokuachana na nyumba za kupanga

    Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga. Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko. Kuna watu walishazoea yale maisha ya...
  18. Vifo vya saratani vinasababishwa na tabia za kimaisha

    Utafiti mpya umehitimisha kwamba maradhi ya saratani yanaweza kuzuilika kwa kudhibiti visababishi vya maradhi hayo kama matumizi ya tumbaku na pombe pamoja na uzito mkubwa wa mwili. Utafiti huu ni kulingana na jarida la tiba la nchini Uingereza la Lancet. Utafiti huo umeongeza kuwa asilimia...
  19. Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  20. Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

    Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo. Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…