Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza...
Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia...
Leo siku ya pentecost tunafundishwa kuwa ni sikukuu ya kuzaliwa Kwa kanisa takatifu la Mungu sikukuu ya Mavuno... Watu Wana ongea lugha mbalimbali lakini zote Zina msifu Mwenyezi Mungu...
Hakuna wa kulifuta wala kulivunja hekalu katatifu( KANISA)
1. Kanisa ni nyumba muhimu
2. Kanisa ni ofisi...
Habari za muda huu wana JF,nahitaji kufahamu ni mambo gani ya msingi yanayohitajika ili kuanzisha taasisi. Na je taasisi inaweza kuanzia ngazi ya Kijiji au kata? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.)
Bunge letu linapokea na kupitisha kwa mbwembwe miswada yote ambayo ina...
Utawala Bora na Ujenzi wa Taasisi Imara kwa Maendeleo ya Taifa
Utangulizi
Maendeleo endelevu ya taifa ni lengo kubwa linalopatikana kupitia utawala bora na ujenzi wa taasisi imara. Taifa lenye utawala bora na taasisi zilizoimarika huweka misingi thabiti kwa maendeleo ya jamii na kushughulikia...
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba
Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa
Chanzo: Jambo TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.