taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo Jumuishi wa kieletronic wa kuhuisha taarifa za mgonjwa

    CHANGAMOTO. 1: Ukosefu wa taarifa za mngonjwa pale anapona tibiwa hospital mbili tofauti kwa wakati tofauti. 2: Kutokea kwa makosa ya kimatibabu kutokana na ukosefu wa taarifa za mngonjwa. 3: Kupelekea madaktari kuanza huduma upya pale wanapokosa taarifa za mngonjwa. 4: Kupelekea mngonjwa...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  5. JamiiForums Tanzania Watengeneza Maudhui wa Tanzania wanatumia vibaya taarifa za watu, TCRA isaidie hili

    Kuna vijana wengi wanatengeneza maudhui ili kujipatia umaarufu au fedha mtandaoni. Hii sio shida, shida inakuja pale ambapo unatumia sura ya mtu bila kuwa na idhini yake. Tulishazungumzia hili kwa ma-mc wanachukua watu video na kuweka kwenye page zao, ambazo video hizo zinakuwa zinatweza utu wa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboresha mifumo ya upatikanaji wa taarifa za wagonjwa nchini

    Kupitia ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano na Habari, Tanzania imeweza kuunda mifumo ya usimamizi wa Taarifa za wagonjwa. Mifumo hii iliyoundwa bado kwa sasa imekuwa ina changamoto kubwa ambayo ni kuwa haisomani na kupelekea kutokuwa na Tija. Mgonjwa anaenda hospitali ambapo tayari ashawahi...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji sana 'Critical Thinking' yako katika hii Taarifa tafadhali

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018. Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Jamii ifanye nini ili kupambana na Taarifa Potofu?

    Ulimwengu umepita katika zama tofauti tangu uwepo wake hadi sasa tulipo. Zama hizi za sasa za taarifa ni moja kati ya zama ngumu na muhimu sana kwa jamii kwa sababu bila kuwa na taarifa jamii haiwawezi kushiriki katika shughuli yeyote ya kiuchumi na kisiasa ili kujiletea maendeleo. Wanafunzi...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi taarifa za mkopo wa Korea Kusini mbona zina utata mwingi?

    Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America na Reuters vilio ripoti kama ilivyo nukuliwa hapo chini, akaja na Waziri wa uwekezaji na yeye...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

    Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza Ina cover Kila sekunde hadi mistari ya kuchukua chakula milio ya ndege n.k Africa is for Africans...
  12. JamiiForums Tanzania Nimefungiwa pombe kwenye karatasi lenye taarifa za wachangia damu

    Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote. Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
  13. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taarifa Binafsi zinazokusanywa na Makampuni ya mikopo Ya Online ni hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Ukikopa Bongopesa ukachelewa kulipa wanawatumia sms wote unaowasilaiana nao

    App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana. Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi...
  16. JamiiForums Tanzania Benki zinavujisha taarifa za wateja

    Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho, 2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  20. JamiiForums Tanzania Benki Kuu kusimamia Kanzidata ya Taarifa za Wakopaji

    Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo Tanzania Limited na Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…