taa za barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka kadhaa

    Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka, wakifuatilia harakati za Ayatollah Ali Khamenei,walinzi wake, na maafisa wengine wakuu wa Iran kabla ya mauaji yake, kulingana na ripoti. Israel ilipata ufikiaji wa karibu kamera zote za jiji...
  2. W

    DOKEZO Responded Taa za kuongozea magari Ubungo External huwa zinazimika kuanzia saa tano usiku

    Hapa Ubungo External Mataa - Dar es Salaam, kila ikifika saa 5 kamili usiku mataa ya barabarani yanayotumika kuongoza magari huwa hayafanyi kazi, hivyo inakuwa kama gombania goli. Tunashuhudia ajali karibia kila wiki, hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka minne sasa, hakuna anayejali kuhusu...
  3. A

    KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  4. and 998 others

    UDSM main campus mliwekea taa za Barabarani kwa Msaada ila sasa zote zimekufa

    1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani kwa sasa kumekua hatari sana. Hivi Uongozi hapo wanaweza nini zaidi ya kununua Magari ya kifahari...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Aahidi kuweka taa za barabarani 2300 Tabora kufanikisha vijana kufanya biashara masaa 24

    "Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  6. Just Pray

    GE2025 Rais Samia aahidi kuweka taa za barabarani jijini Mbeya, asema ikiwezekana Mwanjelwa patajengwa daraja la kuvusha watu

    Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia panda ya Uyole, Sae jijini Mbeya, Meta na Njiapanda ya kwenda Chunya ili vijana waweze kujiajiri...
  7. Victor Mlaki

    Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  8. A

    DOKEZO Stand ya Msamvu Morogoro Bila Taa Usiku: Hatari kwa Usalama na Hatua Muhimu za Kuchukua

    Utangulizi Stand ya Msamvu, iliyopo katika mji wa Morogoro, ni moja ya vituo vikuu vya mabasi nchini Tanzania. Inahudumia maelfu ya wasafiri kila siku kutoka mikoa mbalimbali. Pamoja na umuhimu wake mkubwa katika usafiri wa ndani na nje ya mkoa, kituo hiki kinakabiliwa na changamoto kubwa ya...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku. Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge...
  10. K

    KERO Kagera: Mamlaka husika tunaomba mtuweke taa za barabarani Bunazi, Wilaya ya Misenyi

    Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar mpaka Ofisi za Halmashauri. Nyakati za usiku kiza kinene na Barabara hiyo ndio kuu ya watembea kwa...
  11. Mparee2

    Kuweka taa za barabarani kwenye Barabara kuu iangaliwe vizuri

    Nafikiri katika technologia ambayo inatakiwa ifanyiwe maboresho ya haraka (kama bado) ni taa za barabarani kwa matumizi ya Highway kwani kwa sasa naona kama hazina manufaa stahiki. Najaribu kufikiria kwa akili ya kawaida tu, kuruhusu Barabara kuu itumike pengine kwa masaa 6 hadi 10 hivi kati ya...
  12. Bazenga01

    Uharibifu wa taa za barabarani (Solar road lights) eneo la Ubungo jirani na linapojengwa soko kubwa la kisasa (EACLC)

    Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
  13. Torra Siabba

    Viongozi wa Manispaa ya Tabora wekeni Taa za Barabarani, muonekano wa Usiku Mitaani ni aibu

    Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya jiji watapata wapi? Viongozi wa Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora hili la Taa walichukue kama...
  14. Waufukweni

    Tatizo la Taa za Barabarani Stendi ya Morocco hadi Biafra lamalizika, Usalama Waimarishwa

    Taa za barabarani kuanzia Stand ya Morocco hadi Biafra, Kinondoni, ambazo zilikuwa zimeharibika kwa muda na kusababisha giza hatarishi, sasa zimerekebishwa na zinafanya kazi vizuri. Soma: Taa za barabarani eneo la Stendi ya Morocco hadi Biafra zitengenezwe, ni hatari kwa usalama Giza ambalo...
  15. Waufukweni

    KERO Responded Taa za barabarani eneo la Stendi ya Morocco hadi Biafra zitengenezwe, ni hatari kwa usalama

    Taa za barabarani eneo la Stand ya Morocco hadi Biafra zinahitaji kutengenezwa, kwani ni hatarishi kwa usalama. Ikifika usiku, Morocco inatisha kwa giza. Taa za barabarani kuanzia Stand ya Morocco hadi karibu na Biafra, Kinondoni hazifanyi kazi upande mmoja kwa muda mrefu sasa, jambo ambalo...
  16. Nyendo

    KERO Taa za Barabarani eneo la Kona ya Nairobi zitengenezwe, ni hatarishi kwa usalama

    Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa kuwa na bahati nazo kukuta zinawaka. Lakini kwa ufupi tu ni kuwa ujumbe wangu Mamlaka zinazohusika...
  17. Roving Journalist

    TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  18. Bushmamy

    KERO Arusha; Taa za kuongoza magari zina zaidi ya mwezi mmoja hazifanyia kazi

    Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu.
  19. A

    KERO Taa za kuongoza magari barabara ya Iringa - Morogoro ni mbovu na kupelea ajali

    Mataa ya barabara ya Iringa - Morogoro ni mabovu, huwa muda mwingi yamezima na ni hatari. Vyombo vya usafiri vinapita kwa kuviziana. Magari, pikipiki na bajaj ajali nyingi zinatokea. Mamlaka husika watatue hii changamoto .
  20. Selemani Sele

    Leo ni siku ya traffic light duniani

    Leo ni siku ya taa za barabarani ambayo taa ya barabarani ya kwanza iliwekwa tarehe 5 August 1914 huko cleveland ohio USA, system ilitengenezwa na bwana Lester Wire na leo ndo inatimiza mia tangu zianzishwe. Traffic lights za kwanza zilikuwa na rangi mbili tu mpaka mwaka 1923 ilipoongezwa rangi...
Back
Top Bottom