Sungusungu (sometimes Sungu Sungu or Busalaman) are Tanzanian justice organizations established originally by the Sukuma and Nyamwezi ethnic groups in 1981 to protect cattle from theft and other property. These organizations operate at the community level and enforce a variety of different rules. The group was deputized by the Tanzanian government in 1989. In some regions "they ended up being more influential than the Tanzanian Police Force." Human rights groups have criticized the organizations for being vigilantes who have murdered people without trials. In neighboring Kenya, the name Sungusungu describes a particular vigilante organization which has been banned since 2007.
Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu.
Sisi wananchi tupo tayari kuwachangia posho kwasababu kazi zao tunazikimbuka vile zilikuwa na tija kwa ustawi wa serikali zetu...
Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake.
Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na...
Viongozi wa Sungusungu na wazee maarufu Kitongoji cha Maimba Kata ya Chamalendi wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuwaongoza vijana kulinda amani na kuachana na vitendo vya uchochezi vinavyopelelea uvunjifu wa amani.
Wito huo umetolewa Octoba 19, 2025 na Polisi Kata ya Chamalendi Mkaguzi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa...
Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu,Edith Swebe(ACP)amewaonya walinzi shirikishi Sungusungu mkoani humo kuacha mara moja tabia ya kujichukulia sheria mkononi.
Onyo hilo amelitoa wilayani Itilima na kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu, alipokuwa akizungumza na vikundi vya ulinzi shirikishi katika...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ya Jamhuri ya Muumhano wa Tanzania inalitambua na kuthamini mchango wa Walinzi wa Jadi (Sungusungu) na kuwataka pia kufanya kazi kwa kuzingatia haki, kanuni na sheria za nchi.
Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo leo Februari 20, 2025 kwa nyakati...
Habari Wakuu,
Kumekuwa na taratibu ya mitaa mbalimbali hasa uswahilini viongozi wanaweka utaratibu wa kuweka Sungusungu kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwa utaratibu wa kila nyumba kuchagia kuwalipa mwisho wa mwezi.
Kukiwa kama nyumba ina wapangaji kadhaabasi kila mpangaji atapaswa kuchangia...
Bagamoyo road kuanzia pale Bamaga mpaka Mwenge naona kumezuka wimbi la viroba vya taka vyenye kutoa harufu ya uozo na uvundo kwa wageni wa heshima wanaotumia njia hiyo kuelekea Bagamoyo na Bunju au Mbezi.
Huu mchezo mtendaji anapaswa achukue hatua kwa kuwaita vikundi vyake vya usafi...
Igweeeeeeee
Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea
Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
SHINYANGA: Manka Mushi mwenye miaka 26 mkazi wa Ikoma, Kata ya Itilima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa na Jeshi la Jadi Sungusungu kwa tuhuma za wizi wa Tsh 420,000.
Akizungumza na Azam News katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga alipolazwa akipatiwa...
Hii bado sijaelewa ningependa kupata au kujua ukweli, ukiwa kwenye biashara mitaani ni lazma ulipe hela ya ulinzi shirikishi hata kama kuna mlinzi kwenye fremu zenu? Hii ni nchi ya aina gani na tunapelekana wapi? Naombeni kujua ukweli.
Polisi imekanusha kuwapa silaha Askari Jamii ili kusaidia kuzuia maandamano ya kuipinga Serikali ambayo tayari yameanza katika baadhi ya miji
Chama cha upinzani, Economic Freedom Fighters, (EFF) kilidai kwamba walinda doria wa Kitongoji cha Honeydew, katika Jimbo la Gauteng, walipewa sare za...
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma.
Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa...
POLISI MANYARA YAWADAKA SUNGUSUNGU SITA KWA TUHUMA ZA MAUAJI.
Na John Walter-Babati
Mwili wa Mohamedi Musa Said (42) anaedaiwa kuuawa na kikosi cha ulinzi shirikishi (Sungusungu) wa usiku mjini Babati katika mkoa wa Manyara, umezikwa oktoba 17,2022 nyumbani kwao mtaa wa Kwere mjini hapa.
Baba...
Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya Shinyanga na Wilaya ya Shinyanga limepewa jukumu la kuhakikisha hakuna ndoa ya utotoni ya mwanafunzi yeyote aliyehitimu darasa la saba mwaka huu.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.