sumaye

Frederick Tluway Sumaye (born 29 May 1950) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 28 November 1995 to 30 December 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  2. N

    Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

    Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa. Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu? Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili...
  3. Zanzibar-ASP

    Ni muda mrefu sana Sumaye hajaonekana hadharani wala kusikika, kulikoni?

    Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
  4. Griss

    GE2025 Je Mpina ni double agent kama walivyokuwa Lowassa, Mrema, Sumaye na Nyalandu?

    Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani. Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi...
  5. Chifu mkuu

    Mama Makinda na mh Sumaye kwenye tuzo ya heshima ya rais Samia.

    Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda...
  6. E

    KERO Kiluvya Kwa Sumaye Hakuna Umeme

    Yaani Kiluvya kwa Sumaye, 4km kutokea barabara ya Njia 6 kweli hakuna umeme?. Nguzo 17 kuwasaidia wananchi wapate Umeme imekuwa ni changamoto? Napata mashaka na seriousness wa Tanesco Kibaha.
  7. CM 1774858

    PreGE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  8. D

    Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

    Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
  9. My hair my crown

    Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

    Karibuni kiwanja wana jamiiforum, kipo sehemu nzuri kutoka kiluvya madukani mpaka kilipo nauli ni buku. Kiwanja hakina udalali na maelewano yapo. kwa mawasiliano zaidi karibu +255617011077 +255713392367
  10. benzemah

    Mzee Sumaye: Nilihamia upinzani kwa faida ya CCM

    "Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna...
  11. BARD AI

    Fredrick Sumaye: Samia anaandaa Tanzania ya kesho

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa ya kuandaa Tanzania ya kesho. Sumaye alisema hayo jana katika Kata ya Bonga, mkoani Manyara wakati alipopewa nafasi na Rais Samia ya kusalimia wakati msafara wa Rais uliposimama hapo akiwa njiani kwenda...
Back
Top Bottom