sukari

The Sukari mine or Alsukari mine (Arabic: السكري Al-Sukkari, Egyptian pronunciation: El-Sokkari) is a gold mine located in the Nubian Desert/Eastern Desert near the Red Sea in Egypt, in the south-east of the country in the Red Sea Governorate, 30 km south of Marsa Alam. It is exploited jointly by the Egyptian Ministry of Mineral Resources and Centamin. It is Egypt's first modern gold mine, an industry considered to have scope for expansion in the country. Egypt was known in the ancient world as being a source of gold, and one of the earliest available maps shows a gold mine at this location.It is a combination of an open-pit mine and an underground mine, with estimated reserves of 15.4 million ounces of gold. The site is supplied by a 30 km long pipeline bringing water from the Red Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya sukari Tanzania ni zaidi ya 3000 wakati Msumbiji, Malawi, Kenya, Uganda na Zambia haizidi 2500. Kwani sisi dhambi yetu nini?

    Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu. Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tumewasikia Bashe, Mpina, Tulia na wazalishaji sukari. Tumeelewa nini?

    Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari. Kama taifa tumeelewa nini Mpina...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Skendo ya Bashe na sukari ni kubwa kuliko, isiache ipite bila uwajibikaji.

    Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi 1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya kujifanyia maamuzi tu kwamba nchi ina dharura ya upungufu wa sukari yanayompa mamlaka ya kutofuata taratibu...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi wa kutisha kupitia sukari ulioibuliwa na Mpina litamuangusha ubunge Spika

    Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kama anayoyasema Mpina kuhusu Bashe na Sukari ni kweli ,Basi kuna Haja ya CHADEMA kumuunga mkono

    Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi . Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi . Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili . Soma pia ...
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  8. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa za sukari na mafuta upoje

    Habari wakuu Naomba kujua utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa tajwa hapo juu Hadi mzigo kufika katika godow Tanzania bara upo vipii
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ninapenda kufahamu kwa mwaka nchi ya Tanzania inatumia tani ngapi?

    Ninapenda kufahamu kwa mwaka nchi ya Tanzania inatumia tani ngapi?. Je viwanda vya ndani vinazalisha tani ngapi kwa mwaka?. Je gap sugar kwa mwaka ni tani ngapi?. Kuna mantinki gani gani Mhe. Waziri wa Kilimo kuipa Kampuni binafsi kibali cha kuleta tani 410,000?. Je sukari itakayozalishwa na...
  10. Paul Alex

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

    Wakuu wote salaam! Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari! Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja! Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza...
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited. Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni kudhani la Sukari ni la Bashe, Mpina na Spika wa Bunge ila Mlengwa Mkuu anahaha baada ya Kushtukiwa kupiga Dili na Mwana

    Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao. Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu )...
  13. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Spika wewe ni kiongozi wa Mhimili wa Bunge, iache Serikali ijipambanie yenyewe sakata la sukari

    Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa huu ufisadi wa kutisha wa sukari na kushindwa kwa BBT Bashe bado yupo wizarani?

    https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7 Nisiwachoshe..... Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa kubwa, Lissu anasema Bashe ameshirikiana na Abdul kuuza vibali kimagumashi. Kabla ya upigaji wa sukari...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  17. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Kuna tani elfu 14 za sukari zinauzwa bei nafuu

    Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri. Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi Nikafika Hapa. Binafsi Mimi Ni Dalali/Middleman Ivyo Hii Ni Moja Ya Sehemu Ya Kazi Zangu Za Kila...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa je usalama wa bidhaa hiyo kwa mlaji ukoje? Jamani fuatilieni watu wajue wanatumi bidhaa ya namba Gani.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
Back
Top Bottom