Kidawa alizaliwa wazazi wake wote wawili wakiwa vijana, walikua wapenzi tangu wakiwa shuleni. Baada ya uzazi wa Kidawa walihangaika sana kupata mtoto wa pili. Mama kidawa alifanya maombi mengi kwa Mungu, alibarikiwa kumpata mtoto wa kiume aliyepewa jina la Alex. Wakati huu Kidawa akiwa kigori...