suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Viongozi wa Dini wamekaa kimya suala la Heche kuzuiwa kwenda kumzika Odinga

  2. Suala la ajira kwa wenye Diploma ya food science and technology limefikia wapi?

    Hivi ndugu zangu suala la ajira kwa upande wa Diploma ya food science and technology limefikia wap maana ni mda umepita tunaomba serikali iliangalie
  3. N

    GE2025 Lissu aomba Mahakama kuingilia suala la wafuasi wa Chadema kuzuiwa kuingia Mahakamani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
  4. Jinsi ambavyo watu wanajaribu Kuibagaza Yanga. Serikali iingilie kati suala hili. Hii ni Team ya Chama

    Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii? Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
  5. Suala la kufungiwa kwa makanisa na majukwaa pamoja na kuteka ni jaribio la kutaka kuiteka nchi

    Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
  6. Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

    Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
  7. GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
  8. GE2025 Suala la Bima ya Afya Watoto, Wazee na Wajawazito ni uongo wa wazi! Ikiwa hadi sasa Watoto, Wajawazito na Wazee wanalipishwa, la Bima ataliweza?

    Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya miaka mitano Bure ni Malaria, Mkojo, Haja Kubwa, HIV. Vipimo wanavyopimwa Wajawazito na Wazee Bure...
  9. J

    Suala la hospitali kutokuzuia mwili wa marehemu linasubiri muda wa Kampeni? CCM!!!!

    Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa utaratibu uliopo sasa wa kuzuia miili ya Marehemu ambayo haijalipiwa, kuchukuliwa na ndugu zao...
  10. Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  11. Kuna watu mnakera hasa watanzania kwenye suala la mawasiliano

    Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ? Yaani watu hamuwezi kungumza bila sauti zenu kuhusika, ? Watanzania tujifunze kuheshimu haiba za kila mtu mimi binafsi napenda...
  12. WANASHERIA WA MASUALA YA ARDHI NA NYUMBA NAOMBA MAWAZO YENU YA SUALA HII KESI.

    Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
  13. Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025. Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
  14. Mada maalum kwa suala la changamoto ya uzazi kwa mwanamke

    Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa. Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
  15. K

    GE2025 Kama chama tukae chini tuzungumze suala hili la rushwa kwenye uchaguzi

    Kura ya maoni ya CCM imetia fora kwa rushwa. Kila mjumbe anasema bila chochote mtia nia hapati kura yake. Kila mtia nia anaona bila kutoa chochote atapoteza nafasi anayoiomba. Hapa kwa asilimia 100 tusiwalaumu TAKUKURU. Rushwa ni siri ya yule anayetoa na yule anayepokea. TAKUKURU hana cha...
  16. W

    Una lipi la kumwambia Kamanda wa Mama?

    Kamanda wa mama amjibu Polepole,adai dadaake hakutekwa bali alikuwa kwa mumewe. Unalipi la kumwambia huyu kada wa mama? 🤣🤣
  17. B

    Serikali yaivalia njuga suala la watu wasiojulika, na kubaini yafuata baada ya uchunguzi

    “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA https://m.youtube.com/watch?v=SwfLhnHwpOA “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA During the program this Thursday, criminalist Paulo de Sousa commented on the murder that...
  18. Hivi kwanini familia za kiafrika watu wanakuwa wabinafsi sana hasa likija suala la mirathi

    Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
  19. Arusha kuweni serious suala la Mbunge ajaye

    Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
  20. N

    Kwanini suala la mipango linatushinda watanzania?

    KWANINI SUALA LA MIPANGO LINATUSHINDA WATANZANIA? Mipango ni msingi wa maendeleo ya mtu binafsi, jamii, na taifa kwa ujumla. Bila mipango madhubuti, hakuna maendeleo ya kweli yanayoweza kufikiwa – iwe ni katika kilimo, elimu, afya, miundombinu au uchumi kwa ujumla. Lakini kwa miaka mingi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…