steve nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Steve Nyerere: Ni unafiki Wasanii kufuta picha za kampeni CCM, mnadhani wataacha kuwatukana? Tayari Rais tunaye

    Msanii wa Bongo Movie Steven Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika kuhusiana na Muenendo wa wasanii wengi kufuta picha zao wakiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) akisema ni unafiki na kutokuwa na msimamo "Mstafuuu,....Nimeona Wasanii wengi Wanafuta Picha za...
  2. R

    Steve Nyerere: Poleni watanzania sisi ni ndugu, Tusali huu sio wakati wa kunyoosheana vidole

    Msanii wa Maigizo 'Bongo Movie' Steve Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika haya: "Mstafuuu,....watanzania wenzangu,..kwanza kabisa tutambue sisi wote ni ndugu tumezaliwa katika tumbo 1 tu linaloitwa Tanzania Kama Mtanzania nichukue nafasi hii kuwapa pole ndugu, jamaa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Steve Nyerere: Vijana wasithubutu kuandamana Oktoba 29

    Steve amesema vijana kwanza wasithubutu kwenda kuandamana/kutoka kwa sababu hili taifa ni lao, taifa alimtazami mzee bali linamtazama kijana wa leo anaenda kushika hatam kwenye taifa hili. Hatam ya kulinda heshima, na kulinda usalama na kulinda Tanzania. Huyu jamaa yeye ni mnufaika wa mfumo...
  4. Mafyangula

    GE2025 Steve Nyerere: Watanzania wamenituma, wameniambia Nyerere tunatoka kwenda kupiga kura

    Jamani njooni msikilizeni mzee wa protokali Steve Nyerere! Hapo kashapata posho yake ya kifisadi basi ananguvu zote za kutanua mdomo wake =============== Watanzania wamenituma, wameniambia Nyerere tunatoka kwenda kupiga kura tunatoka kwenda kutiki, wamama wa Tanzania wamenitumia meseji Nyerere...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Steve Nyerere: Upinzani umeshindwa kuonesha nguvu katika Kampeni

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025. Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya...
  6. Waufukweni

    GE2025 Steve Nyerere: Polepole kumsema Rais vibaya siyo Miiko wa Maadili

    Msanii na mwanaharakati maarufu, Steve Nyerere, amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Steve Nyerere amesema kauli za Polepole hazioneshi...
  7. Erythrocyte

    Steve Nyerere ajibu Mapigo ya Humphrey Polepole

    Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania. Msome anavyomchambua Polepole. ========== Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Steve Nyerere: Vijana maarufu jitathimini kwanza kabla ya kutangaza kugombea

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu kama Steve Nyerere, ameonya kuhusu wimbi la vijana maarufu – hususan kutoka mitandao ya kijamii na burudani – kujitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, akisema...
  9. Carlos The Jackal

    Tanzania ya sasa: Akina Steve Nyerere wana nguvu kuliko Prof Mkenda? Steve Nyerere ana mchango upi?

    Ndugu Mtanzania ,ambaye hata hujafika Sekondari!. Taasisi inayoshughulika na Usalama wa Nchi Kwa aina zake yaaan Usalama wa Chakula Usalama wa Ajira ya Watanzania Usalama wa Kijamii (Elimu, Afya, Tamaduni ) Usalama wa Energy ( Umeme, Mafuta, Gas ) Usalama wa Mali Asili za Nchi Kwa aina zake...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kusimama mbele ya Rais na kusema kuwa unamdai sio 'Heshima'

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais "Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Wolper: Steve mnamtukana na kumdharau siku akifa mtamkumbuka sana

    Steve mnaomtukana na kumdharau siku akidondoka alafu tukapitia vitu fulani fulani ndio tutamkumbuka sana"
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Steve Nyerere: Anayekuja nchini kwetu kumtetea Tundu Lissu, sisi tunaongoza kwa amani

    Steve Nyerere amvaa Mwanasheria wa Kenya aliyekuja Tanzania kumtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini.
  14. W

    PreGE2025 Steve Nyerere kupitia taasisi ya Mama ongea na mwanao wametoa msaada wa 'Kiti cha mama'

    Hii kila kitu kuwa cha mama, kuitwa cha mama na kukihusianisha na mama imekuwa kero sasa, ukipita barabarani magari yameandikwa SSH 2025 kuta zimechorwa chata hiyo hiyo nk. Sasa hatimaye wamekuja na 'kiti cha mama' kwa ajili ya kuwasaidia walemavu na wameviweka na picha ya Rais Samia, hii ni...
  15. Damaso

    Steve Nyerere uchawa umezidi kipimo!

    Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga. Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo...
  16. GENTAMYCINE

    Haji Manara na Steve Nyerere zile Ngumi mlizopigana pale Serena Hotel Wiki Tatu sasa zimepita zilisababishwa na nini?

    Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Steve Nyerere akusanya wasanii na viongozi wa dini kugawa mitungi bure kwa wakina mama ili "kuunga mkono juhudi" za Samia

    Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii? Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba...
  18. Waufukweni

    Steve Nyerere: Acha nidhalilike kwa ajili ya ndugu zetu hawa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki na viti mwendo (wheelchairs) 100 kwa watu wenye uhitaji maalum, amesema; "Kuomba ni utumwa na udhalilishaji, lakini kwa ajili ya ndugu zetu hawa acha...
  19. Kipenzi Changu

    Tuzo za Utalii: Kulikuwa na ulazima gani Steve Nyerere kuwakaribisha wageni kwa Kingereza?

  20. Cute Wife

    PreGE2025 Steve Nyerere na kundi lake kutambuliwa kama "Protocol kutoka Ikulu" kwa Mwamposa ina maana gani? Steve ni 'Kitengo'?

    Wakuu, Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu? Wajuvi mkuje hapa.
Back
Top Bottom