sports

  1. P

    General importances of sports

    GENERAL IMPORTANCES OF SPORTS: A sport is an activity involving physical exertion and skill in which an individual or team competes against another or others for entertainment. There are so many different types of sports like football, volleyball, fencing, jogging, basketball, and so on. The...
  2. Subaru Impreza G4 Sports.

    2012 Subaru Impreza G4 for sale. Automatic Trans. Number plate utachagua ww. Low Mileage. Bodykit kali + Muffler & Air intake mods ndogo. Smart Radio + Push to start. Bei ni 22.5M plus usajili. 0742720822 For more details. SOLD
  3. Kesho asubuhi usikose kipindi cha michezo cha E Sports

    Uchambuzi ulioshiba kuhusu kilichotokea leo kule Mbarali. Hapa Maestro, pale Jef Leah, pembeni kuna Mzee wa Jambia bila kumsahau Mwana wa Kazumari. Damu itamwagika kesho…
  4. Kabwili akiwasha Rwanda, anaidai Rayon Sports mil 600. Kesi iko mezani FIFA

    FIFA has sanctioned Rwanda's CAF Confederation Cup campaigners Rayon Sports from registering new expatriate players. The directive from the world football governing body came after the club refused to pay Tanzanian goalkeeper Ramadhani Kabwili who left in April. The player joined Rayon from...
  5. kampuni ya sports pesa tambueni kuwa mla huliwa....

    kampuni ya sports pesa kila siku mnakula pesa za vijana wanaoshinda wakibahatisha michezo mbalimbali, ila nyinyi mkiliwa mnaumia sana...jana nimeweka 50000 kwa mechi ya singida united na jku dakika ya arobaini na nane naona pesa yangu inarudishwa kwangu , wananitumia meseji kuwa mechi...
  6. H

    Ukweli kuhusu Simba Sports Club

    Natumaini u buheri wa afya. Kumekuwa na mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uchezaji wa Simba. Ukweli ni kwamba baada ya Simba kujitathimini kwa muda mrefu imeamua kubadili falsafa yake ya kupiga pasi nyingi za nyuma na madoido yasiyokuwa na tija. Tathimini ilionesha ili timu...
  7. Nimezichungulia jezi za simba sports sijaridhika nazo

    Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo. Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni. Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango. Wana simba punguzeni matarajio
  8. Female Sports and PE Teacher at Dar es Salaam Independent School

    Position: Female Sports and PE Teacher TEACHERS APPLYING FOR A SPORTS & PE TEACHER POSITION should have; At least five years’ experience teaching & training basketball, volleyball, football e.tc. Evidence of students’ achievement. Computer skills. Proficiency in English speaking and writing...
  9. Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

    Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee. Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali. Ikitokea hujauelewa niulize mimi
  10. Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  11. H

    Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Kichwa cha habari chahusika. Baada ya kusuasua kwa misimu miwili ni dhahiri sasa kuna mabadiliko yafuatayo yatafanyika Simba SC: 1. Fred Nganjiro (Vunjabei) hataendelea kuwa kit supplier wa Simba. Itapewa kampuni ya nje ya nchi (hasa Afrika kusini) au ndugu yetu mmoja atachukua tender. 2...
  12. Clouds Tv imekosa studio yenye hadhi kipindi cha Sports Bar?

    Habari wakuu, Nimeshangaa sana kuona hii studio/chumba cha habari wanachotumia Clouds Tv katika kipindi cha Sports bar mpaka nikajiuliza kwa nini wameamua kufanya hivyo? Je, wamekosa resource? Ubahili? Au ukata? Kwakweli chumba cha habari ni kama wapo ndani ya 'contena' au kabatini, Yaani...
  13. S

    Mahamud Zuberi wa Azam TV anavyoharibu kipindi cha Sports AM

    Mahamud Zuberi ndiye anayeendesha kipindi ambapo ni kipindi mahsusi kwa wachezaji wa zamami kueleza historia yao mpira hadi wakaibuka kuwa maarufu. Hivyo, watazamaji tunakuwa na hamu ya kumsikia mchezaji anachosema. Hivyo, tungetarajia muda mwingi autumie mchezaji kuongea yeye atumie muda...
  14. Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

    Karibuni wanajamvi tushee hii stori. ====
  15. Sasa ni Vita rasmi ya Sports Extra ya Clouds FM dhidi ya E-Sports ya EFM Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5

    Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha Usiku. Taarifa ikufikie kuwa kuanzia Wiki ijayo kile Kipindi pendwa cha E-Sports cha EFM...
  16. FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

    Mechi inaanza muda mfupi ujao Mchezo umeanza 5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani 7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango 25' Mwenda anampiga kazu kipa wa African Sports lakini hakuna wa kuuweka mpira wavuni 35' Goooo Baleke anaipatia Simba goli la...
  17. Wachezaji wafuatao wa Simba SC wasipangwe Mechi ya leo dhidi ya African Sports FC katika TFF ASFC

    Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC ili wasicheze Mechi Mbili Muhimu za Kimaamuzi za CAFCL ile ya Vipers FC tarehe 7 March 2023 na ya...
  18. Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
  19. Ushauri: Azam Media unganeni na Canal Sports mrushe EPL kuleta ushindani

    Kama azam ikaingia UBIA na canal Sports KWA baadhi ya Chanel's za mpira wa ulaya itapata soko zaidi kuliko sasa. Kwa soko la Tanzania DStv inawaumiza wapenzi wa soka KWA gharama kubwa Sana hivyo inapaswa ipewe ushindani Ili wananchi wapate huduma Bora. Azam wanaweza pandisha vifurushi hadi...
  20. M

    Sakata la Yanga SC na Udhamini wa Sports Pesa limethibitisha kuwa Wanaofeli Law School UDSM wanastahili

    Kama kila Mwanasheria / Wakili akienda tu Hewani Kuongea katika Redio na Runinga kuhusiana na Sakata la Yanga SC na Mdhamini Mkuu wao Kampuni ya Sports Pesa anasema lwake huku Wengine wakijichanganya kabisa kwanini tulilalamika na tunalalamika wanaosoma Law School of Tanzania Kufeli sana tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…