spika job ndugai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yericko Nyerere

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  2. K

    Uspika wa Job Ndugai umeshikiliwa na Mwenyekiti wa CCM; akimfuta uanachama kiti kinabaki wazi

    Wakuu, Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, speaker wa bunge la muungano anaweza kukoma kuwa speaker ikiwa kama alichaguliwa kuwa spika kutoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa na wananchi ambapo ubunge wake ukitenguliwa. Ndugai anaweza kusitishiwa na kufurushwa uanachama...
  3. D

    Hivi Spika Ndugai ameokoka siku hizi?

    Mheshimiwa Job Ndugai, umekuwa ukihaha sana kwa siku za hivi karibuni kikosoa serikali kwa Mambo menngi. Kimsingi serikali sio Mungu na huwa inakosea sana. Japo pia makosa mengi ya serikali zetu yalitokana na udhaifu na Unafiki wa Bunge ambalo wewe umekuwa sehemu ya uongozi wake kwa muda mrefu...
  4. Tajiri wa kinyankole

    Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
  5. MtuHabari

    CCM mlindeni Mwenyekiti wenu na aibu ya Ndugai

    Ni wazi kuwa sakata la uvunjifu wa katiba Bungeni linamkera sana Mheshimiwa Rais mama Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM. Tatizo ni kuwa kama Rais hapendi aonekane kuwa anaingilia mihimili mingine ya nchi kwa kutoa kauli, maana kauli ya Rais ni kama sheria. Spika Ndugai analijua hilo na...
  6. Mpinzire

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki. Mhe. Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka...
  7. baro

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
Back
Top Bottom