soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Kuna wakati nilikuwa naambia watu soka la bongo ni mazingaombwe na scheme wakaniambia najifanya mmarekani sana, aya sasa na bado mtaona mengi

    "I prefer not to speak, if i speak am in big trouble" -jose mourinho
  2. Dennis Robert Shughuru

    Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

    Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga mamlaka ya kupambana na kuzuia rushwa inachunguza mienendo ya rushwa ndani ya timu za mpira bila uoga yaani wanakuwa na meno tofauti na ilivyo sasa
  3. NALIA NGWENA

    Dakika 15, za nyongeza na Penati ya mchongo na bado tunajisifu Kuwa hii ni Ligi ya tano kwa ubora ?

    Mambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa. Dakika kumi na tano za nyongeza na Penati isiyo halali Refa kafunika mkwaju Baada ya kuambiwa na mchezaji ...
  4. ngara23

    Tuitazame Yanga ya msimu ujao, watu watakimbia mno

    Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa 1. NBC PL 2. CRDB confederation cup 3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku akimtwanga Azam Goli 4 Wachezaji wanaotoka 1 Kennedy Musonda 2 Aziz ki 3 Clement Mzize 4 Aboubukar...
  5. D

    Simba wana timu nzuri sana lakini uchoyo wa pasi kwa Washambuliaji unigharimu timu kila siku na hakuna mabadiliko

    Nimefuatila sana mechi za simba wanavyocheza! Straika wa simba wapo vizuri sana lakini kipengele cha utulive katika box la mpinzani hawana! Elie mpanzu ana speed nzuri lakini uchoyo ndani ya box unaigharimu timu asilazimoshe kushoot kila wakati . Ateba naye hivyo hivyo huwezi kuiona ile gusa...
  6. mdukuzi

    Simba wanaweza kucheza ligi ya Egypt na kutoa upinzani, Azam FC wahamie ligi ya Zanzibar

    Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana. Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
  7. MwananchiOG

    Azam FC kama mnajua hamna malengo yoyote kwanini mnang'ang'ania wachezaji bora na kukamia timu kubwa?

    Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk. Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha. Timu inawachezaji...
  8. ngara23

    Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe...
  9. R

    Napata wasiwasi Yanga wanaweza kuchukua kombe mara ya 4 mfululizo, Simba hatupo serious kwenye usajili, usimamizi wa fedha na siasa za mpira

    Leo nimeangalia mechi ya Yanga nikitarajia kuwepo na upinzani mkali baada ya sakata lilotokea siku chache zilizopita nikitegemea Tabora watadraw au kushinda nikiwa na shauku ya Simba kurudi kileleni. Nilichokiona wanachokifanya Yanga nimejikuta napata wasiwasi na hofu, Yanga ame dominate vibaya...
  10. Pdidy

    Karia hii asali lazima uimeze haina jinsi pole sana kukataa kuongea na waandishi..sindano ilipoingilia ndipo inapotokea

    kakangu Mjomba wangu Haya mambo lazima na n lazima utayameze Nilikujulishe tu kama mjommbaa ile asali uliyotema lwenye conference lazima uimeze tenaaa nakujuza tu uliidharau yanga ipo siku itakuadhibu nipe mdaa ulitutukana kama tumeshindwa mpira tukaangaliee cinema nakwambia utakuwa wa...
  11. Chizi Maarifa

    Simba msamehe Manula naye ni binadamu sawa alikengeuka lakini msameheni

    Najua bado mnaumia kwa wale wachezaji wenu kushirikiana nasi. Manula ni binadamu msimpe adhabu kubwa hivi. Ni tamaa tu ambazo binadamu wanakuwa nazo lakini msiue kipaji chake cha mpira please.
  12. ngara23

    Arafat Haji mtu chuma kweli kweli

    Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF...
  13. Waufukweni

    TFF, Bodi ya Ligi, Simba, Yanga kukutana na serikali Machi 27, kuamua hatma ya Kariakoo Derby

    Wakuu Uongozi wa TFF, Bodi ya Ligi, Simba na Yanga chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na michezo utakutana kesho Machi 27 saa 4 asubuhi katika ofisi za BMT kujadili hatma ya mechi ya Derby iliyoahirishwa Machi 8. Pande zote zimethibitisha kushiriki kikao hicho. Soma, Pia Serikali yawaita...
  14. sergio 5

    Trends ya tabia za Ali Kamwe, Je Yanga uyo ndiyo think tank wao?

    1.Nakumbuka alifanya utovu wa nidhamu akaadhibiwa na TFF sjui baadae adhabu ikaota mbawa 2. Alikuwa kocha wa team flani kwenye SAMIA celebrity cup team ya kwanza alifanya uhuni akafukuzwa akasingizia kujiuzuru akahamia BAD NATION ya marioo Jana akaleteza vurugu akaongoza team kutoka uwanjani...
  15. NALIA NGWENA

    Hakika bado tuna safari ndefu ya kutransform mpira wetu: Yaani unajipima na coastal union alafu ukapate competition na Morocco kweli?

    FULL TIME - Friendly Match Coastal Union 1️⃣ ➖ 2️⃣ Taifa Stars ⚽️ Kibu Denis ⚽ Kibu Denis ⚽ Amara Bagayoko Naona Kabisa timu ya Taifa stars haipo serious huwezi kufanya maandalizi na coastal union na Kisha uende kuchuana kimataifa tena na timu zenye uchu kweli kweli Wa kutoboa kuingia kwenye...
  16. DELETED ACCOUNT

    Yanga ikienda CAS kwa sababu ya kuahirishwa kwa derby nipigwe ban ya miaka 2

    Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia! Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini: Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS. Pili, Yanga hawana...
  17. lugoda12

    Hakuna kanuni ya ligi kuu inayoamuru Yanga kupewa alama tatu

    Kwenye barua ambayo TPLB imewajibu Yanga yenye kumbukumbu namba TPLB/2024/625 ya Machi 16,2025 imewaambia Yanga hawawezi kupewa alama tatu kutokana na kuwa hakuna KANUNI ya Ligi Kuu inayoamuru jambo hilo ambapo TPLB imewapa sababu takribani 10, nitazielezea kwa uchache. 1- Mchezo ulighairishwa...
  18. Ngonidema

    Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hizi mbili Simba na Yanga?

    Mwenye kujua ukweli wa Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hiz mbili simba na yanga? Plesase atufahamishe
  19. ngara23

    Rais Karia umetaka mwenyewe kuiona nguvu ya Yanga

    Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi Karia ulituhujumu...
  20. Lyrics Master

    Ipeni Dar es salaam Young Africa (Yanga) heshima yake

    Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania inayoweza kumtisha Yanga! Ni ipi hiyo? Haipo! Yanga ni mfalme wa soka la Tanzania, na historia...
Back
Top Bottom